Polisi sio mahala salama tena

Inasikitisha sana kwakweli:
Pesa sio kila kitu
Tutumie nguvu na akili zetu kujipatia kipato cha ziada
Tanzania ina fulsa nyingi sana yaani:
 
Chai.

Taarifa sahihi ni hii.

Tukio limetokea Kinyerezi Kanga ,majira ya saa 4 usiku kipindi kile cha lockdown, kilichofanyika ni kwamba jamaa walikuwa wanakunywa bia mida hiyo ya usiku na walipoona duka la jirani yao vibaka wamevamia ikabidi wampigie simu muhusika ambaye kwa wakati huo alikuwa nje ya dar es salaam, hivyo baada ya hapo simu ikapigwa polisi, polisi walivyofika jamaa ikabidi wasogee ili kama kutahitajika sapoti ya aina yoyote waweze kuitoa, lakini badala yake wale polisi wakaanza kuwashambulia majirani hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…