Polisi raia wa China waajiriwa Zambia

Chillah

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
8,293
8,847
Polisi raia wa China waajiriwa Zambia
_99265561_f9a2b2fc-5021-434f-870c-515ca0db8479.jpg

Haki miliki ya pichaMWEBANTU MEDIA
Image captionPolisi raia wa China waajiriwa Zambia
Polisi nchini Zambia imewateua raia 8 wa China kuwa polisi wa ziada.

Hatua hiyo imezua ghadhabu baada ya wakuu wa polisi mapema mwaka huu, kuwapiga marufuku polisi kutokana na kuoa raia wa kigeni kwa sababu za kiusalama.

Polis hao wa ziada walitajwa rasmi jana na mkuu wa polisi nchini Zambia na wanaaminika kuwa tayari wameanza kufanya kazi.

Dickson Jere, ambaye ni wakili, alisema kuwa uteuzi huo ulikiuka katiba ambayo inasema wazi kuwa, Mzambia yeyote aliye na uraia wa nchi mbili hawezi kujiunga na idara za usalama.

Msemaji wa polisi nchini Zambia Esther Mwata-Katongo, alitetea uteuzi huo wa polisi akisema kuwa kabla ya wao kuteuliwa walichunguzwa na watafanya kazi chini ya usimamizi wa polisi wa kawaida.
 
2025 nikifanikiwa kuwa rais wa nchi nitaomba raia wa kigeni kutoka ujerumani uholanzi ufaransa japan urusi china israel na vietinam wapatao milioni 20 wawe raia wa nchi hii baada ya miaka 30 mbeleni Tanzania Inakuwa Kama Usa Ni Mawazo Yangu
 
itakuwa nchi ndogo inayo milikiwa na mataifa ya ulaya kwa faida yao
 
Fundi25 Hii Nchi Ni Kubwa Mno Kuijaza Wanatakiwa Watu Milion 70 Tena Hapo Bado Mimi Nitajenga Taifa La Kila Raia Wa Mataifa Ila Wanyarwanda Na Waarabu Hapana
 
Fundi25 Hii Nchi Ni Kubwa Mno Kuijaza Wanatakiwa Watu Milion 70 Tena Hapo Bado Mimi Nitajenga Taifa La Kila Raia Wa Mataifa Ila Wanyarwanda Na Waarabu Hapana
Hahahah mkuu nyerere alikoseaga sana alitakiwa atuchanganye na wachina kipindi tulipo kuwa na strong relationship na wa china
 
Fundi25 Uko Sahihi Angetuchanganya Miaka Hiyo Tungekuwa Wengi Sana Na Wachina Walivyo Wachakariji Tungekuwa Taifa La Wachakariji
 
Back
Top Bottom