EWGM's
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 1,521
- 2,109
kwa tafsiri nyepesi makafir ni watu wasioamini/kuabudu unachoamini/abudu wewe..so in reality mlipua mabomu akikuona wewe mkristo ni ------ kwa upande mwingine naye ni ------ from your point of view
Nilichokuwa nataka mimi hapo kwenye wekundu tu huko kwingine sina haja nako.
Swali lingine nataka kuelewa ili usiwe ----- unatakiwa kuamini/kuabudu nini?
Pia unaweza kunisaidia hii tafsiri ya neno ----- umeitoa wapi au umesoma wapi au kitabu kipi?
NB: Naomba majibu kama swali linazyouliza bila maelezo kwenye majibu kama ulivyofanya kwenye jibu ya swali la mwanzo.
Ahsante sana.