Polisi ni zaidi ya israel mtoa roho

Polisi ni zaidi ya israel mtoa roho

aduwilly

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
1,191
Reaction score
320
Baada ya polisi kuanzisha msako wa kukamata wapika gongo mitaani, mama mmoja aliamua kwenda kupika gongo kwenye mapango mida ya saa kumi na mbili na nusu jioni. Wakati akiendelea na zoezi lake la kupika gongo, akasikia kishindo kikubwa kuelekea upande aliko, kwa hamaki akauliza nani wewe?

Sauti ikamjibu mimi ni israel mtoa roho, yule mama akashusha pumzi na kusema "duh afadhari sana kwani mimi nlifikiri ni polisi nianze kukimbia sa hizi. israel akamwambia nimekuja kuchukua roho yako niipeleke motoni manake una madhambi mengi sana. Mother akajibu "nilifikiri unataka uipeleke roho yangu polisi kumbe motoni tu!
 
Huyo mama atakuwa anakaa Iringa kwani polisi wa huko afadhali ya mtoa roho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom