polisi na nyie bhana!!!!!!!

polisi na nyie bhana!!!!!!!

saudari

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
2,655
Reaction score
2,783
4.JPG
Hebu oneni hawa mapolisi wanavyomtomasa mwanaume mwenzao,
wanatamani na wao wangekua na limwili kama la huyu jamaa.
 
Sometimes tuwa wakweli jamani.
Hao polisi wanaamulia ugomvi, sioni kama wanamtomasa huyo jamaa.
 
Yaani kikosi kizima wanaamulia ugomvi wa watu wawili!? dah
 
Wanaamua ugomvi, hamuoni boxer ya grey upande wa pili
 
Ndo polisi wetu wakibongo hao, hapo wanaendeshwa kwa nguvu ya ndumu na viroba ... wao kutumia akl ni mpaka wanapovuka barabara! Ptuuuu
 
Niliwahi kukamatwa na polisi Washington DC, ilikuwa mara ya kwanza kukamatwa na polisi na kilichonishangaza polisi hawakunigusa zaidi ya kunihoji na kwenda nao kituoni. Polisi wa Bongo badilikeni, hata mtuhumiwa ana haki zake za msingi.
 
Back
Top Bottom