Polisi na NEC, itoe ufafanuzi wa haraka juu ya hofu ya 'kura feki' kila kona

Tayari tumeanza kusikia kukamatwa kura feki hakika huwezi kubishana na kifo maana utakayeumia ni wewe,ndivyo ilivyo kwa CCM na serikali yake ambayo kimsingi imeshindwa kuletea wananchi maendeleo.Nyerere aliwahi kusema maendeleo sio barabara watu wengi hawakumuelewa alimaanisha nini,Leo inaweza kueleweka zaidi kwa watanzania wengi.Barabara hazina maana kwa uchumi ulioporomoka,barabara hazina maana kwa wananchi kama serikali inayoongoza imejaa wezi,barabara hazina maana kama serikali iliyopo madarakani inatunza MAFISADI,barabara hazina maana kamaserikali iliyopo madarakani haiheshimu utawala wa sheria,Barabara hazina maana kama uchumi wa nchi unamilikiwa na wageni kwa asilimia 80%, barabara hazina maana kama serikali inazitumia kutorosha nyara za nchi,barabara hazina maana kama BAJETI ya nchi haimjali mwananchi kwanamna yoyote ile,Barabara hazina maana kama serikali haiwezi kutafuta masoko kwa wakulima, Barabara hazinamaana kama kila kukicha wananchi walio wengi wanailalamikia serikali hii iliyokwenda LIKIZO na haijulikani itarudilini.BUNGENI Mmejaza wabunge wajinga wajinga muda wote wao ni kutokujua wanaongea nini utadhani vichaa.Wananchi wanasema hakuna dawa CCM na serikali yake wanasema zipo.Leo hii maji ni shida nchi nzima.Nenda mahospitalini dawa hakuna muda wote ni danadana tupu huku dawa zikiendelea kuibiwa kila kukicha huku serikali ya CCM ikiangalia tu na kushangaa.Viongozi wamegeuka waigizaji kelele nyingi vitendo hakuna.Kumbuka mtanzania penye mawazo ya wizi diama hapana maendeleo na katikahili wananchi wengi wameligundua na wanasema CCM ijiandae kisaikolojia kwa kiama kijacho jumapili hii.CCM na serikali yake ikome kabisa kutoa vitisho kwa mamlaka halali wananchi.Viongozi wa jeshi la polisi wakome kutishia wananchi wanaotaka kulinda mali zao.Kamwe hakuna mtu atamzuia mtu kwenda kupiga kura huu ni uongo wa mchana kweupe wa viongozi wa ccm na baadhi ya viongozi wa jeshi la polisi.Mjue ni mjinga tu ndie atakae kubali kauli za CCM na jeshi lao la POLISI na hapa tusidanganyane kwa sababu lengo kuu la kulazimisha watu waondoke si fujo hata kidogo ILA NI KUFANIKISHA UINGIZAJI WA KURA FEKINA KUHONGA MAWAKALA.TUJIULIZE SWALI LA MSINGI KWA NINI CCM HAWATAKI KULINDA KURA KAMA WENZAO WA UKAWA NA BADALA YAKE WANASHABIKIA WATU KUONDOKA KWASABABU KUONDOKA KWA WATU NDIO KETE YA MWISHO YA CCM ILIYOBAKIA,KUBAKI AU KUACHIA NGAZI.NAMWAMBIA KIKWETE NA POLISI WAJUE AMANI YA NCHI IMELALA KATIKA HAKI PEKEE NA SI VITISHO NA MABAVU.SISI TUNAJUA KWAMBA BABA NA MAMA WA AMANI NI HAKI NA SI MABAVU NA VITISHO.MSILAZIMISHE KUONGOZA UMMA MNAOENDELEA KUUTESA MIAKA YOTE HUKU WATOTO WENU WAKISOMA ULAYA NA MAREKANI NA HUKU WATOTO WETU WAKILA VUMBI MIAKA YOTE TOKA UHURU.POLISI WAJUE WATAWAPIGA BABA ZAONA MAMA ZAO,DADA NA KAKA ZAO,BABU ZAO WANAOWAPIGANIA ILI WAPATE STAHIKI ZAO NZURI KWA AJILIYA WATOTO NA FAMILIA ZAO.WAKIPINGA MABADILIKO WAJUE WANAPINGA UTU,MAENDELEO,WANAPALILIA RUSHWA NA UKABILA,WANALINDA WEZI NA WAKUZA UMASKINI,WAJUE WANALEA MFUMO KANDAMIZI AMBAO MWISHO WAKE NI KUZAA WATU WALIOKATA TAMAA YA KUISHI NA MWISHO NI MAUAJI.KABLA HATUJAFIKA HUKO NI VEMA AKILI ZA VIONGOZI WA SERIKALI NA WALE WA POLISI WATAMBUE HILO NA WAJUE HAKUNA AMANI KATIKA MAZINGIRA YA UPOKAJI WA HAKI NA MAMLAKA YA WANANCHI.MWISHO KABISA NASEMA WATU WALIOSABABISHA WANANCHI WAKAFIKA HAPA NA KUCHOKA NI CCM NA SERIKALI YAKE HIVYO BASI POLISI NAWASIHI MSITUMIKE VIBAYA MAANA HALI WALIYOISABABISHA CCM KWA WANANCHI NI MBAYA SANA HIVYO BASI POLISI WANANCHI WANASEMA WANATAKA MABADILIKO MIAKA HAMSINI NA NNE YA CCM NA TANU INATOSHA.WANANCHI WANAKUTAKIENI MEMA KATIKA SAFARI YA MABADILIKO SOTE TUJENGE TAIFA NA SI KUTISHIANA MJUE MNAKAA KWETU MITAANI NA FAMILIA ZENU TUNAZIPENDA CCM WASITUFARAKANISHE KWA UROHO WAO NA UPUUZI WAO WA KIUONGOZI,MADHAIFU YA CCM YANAWEZA KUVUMILIWA NA MWEHU PEKEE NA SI BINADAMU AMBAYE YUKO(MENTAL FIT) TUJENGE UTAMADUNI MPYA ILI NCHI ISONGE MBELE,NA TUKUMBUKE WENZETU WAMEFIKA MBALI SANA UKIONA KENYA,RWANDA,UGANDA,ZAMBIA NA HAO WOTE HAWANA UTAJIRI KAMA WETU KWA MANENO MENGINE WAMEPAA, CCM WASIGEUZE NCHI NI YA KIFALME,HILO TUMELIKATAA NA TUNALIKATAA JUMAPILI KUPITIA DEMOKRASIA AMBAYO TUNASISITIZA SANA SANA SANA SANA IHESHIMIKE WENGI WALETE VIONGOZI NA SI WACHACHE KWA USALAMA NA USTAWIWA TAIFA.MUNGU IBARIKI TANZANIA NAWATAKIABARAKA ZA MUNGU MWENYEZI KATIKAKUTENDA HAKI NDANI YA UCHAGUZI HUU NA HAKI HIYO IKAZAE AMANI ILIYO NJEMA KWA USTAWI WA TAIFA LETU.
 
HAKUNA USHINDI LAINI NA CCM. MAALIM SEIF ALIPOLALAMIKA HUKO ZANZIBAR NA KUANZISHA VURUGU WATU WALIMUONA MWEHU LEO CCM HII HII INAANZISHA USHENZI WAKE HUKU BARA , EE Mungu TUNUSURU NA HAWA WABAYA WENYE NIA MBAYA YA KUTAWLA HAPA TANZANIA MILELE.NDO MAANA KIKWETE ATAPATA USINGIZI ENDAPO MAGUFULI ATASHINDA. HII KWAKWELI NOMA SANA. HUU NI UTAWALA WA KISHETANI KABISA
 
Lazima Watanzania tujiongeze, kwanini kura "feki" kama mnavyoziita zianze kukamatwa hata kabla ya upigaji kura kuanza? Mipango hii imeandaliwa na watu wa upinzani ili kuonesha kuwa mpango huo wa kura "feki" upon a wanatafuta sympathy ya wananchi na mashirika ya kimataifa. Tusikubali kamwe kufarakanwa kwa maslahi ya Mbowe na ndugu zake.
na wewe unahisi tu kama ambavyo wengine wanahisi huwezi kuw sihihi pia ,nawe ni muongo kma wngine tu,
 
Mwanza usiku huu imetokea pia utaona mabox hadi gari limechomwa, unataka nini tena?
 
Ni kweli zilikamatwa kura feki za Mbatia huko Vunjo. Tume ilimwandikia ajieleze
 
Amani....Amani....Amani.tuombe Amani na tukubali kwa yakini ONE DAY kila mmoja wetu atahukumiwa kwa aliyoyatenda.
 
Taarifa zinasambaa kila kona kuwa zimekamatwa kura feki kuanzia Njombe Mara kwa Nagu Mara mbatia amezikamata jimboni kwake mara mbeya mara jimboni kwa Lisu, Tunaomba ufafanuzi hizi fununu sio nzuri je ni kweli au stori zinatungwa kutuchanganya wapiga kura. sijaona hizo kura feki halisi kwenye picha ila ni minong'ono kila sehemu msiwe kimya ata kidogo kesho zinaweza kuzua vurugu kila sehemu,

Kama ni kweli basi haya matukio yalipangwa na kuratibiwa na tume yenyewe ndio maana ilikataa ulinzi shirikishi na polisi jamii kwenye maswala ya kura.

Kama hayo matukio ni uzushi aliyeandaa taarifa hizi za uongo na kuratibu usambazaji wake ni mtu moja au kikundi cha watu wenye malengo mabaya kwa taifa, Watafutwe wajulikane na washitakiwe haraka kwani wanahatarisha amani na wanaweza kuvuruga kabisa zoezi la upigaji kura kesho

Unataka ufafanuzi gani tena toka kwa polisi?

Kapige kura yako, porojo mwachie Ben.

Kama matukio ni propaganda za uzushi ni wazi kuwa kambi inayohusika na uzushi inawaogopa sana wagombea waliozushiwa wizi. Washashindwa. Na hata kukitokea uchakachuaji waliounda habari za uongo wanapoteza credibility ya kupinga matokeo.

Na pia matukio haya kwa mtizamo wangu ni ushahidi wa kazi ya vyombo vya dola.
Vipo, vinafanya kazi na kuna busara sana.

Ninakipongeza kitendo cha askari wa njombe, kurudi nyuma ili kupunguza ugomvi na kuepuka kuwashambulia raia.
Wangeamua kutumia risasi zao na mabomu naamini raia wengi wangekufa na kufanyika kwa uchaguzi njombe leo ingekuwa ni kitendawili.

Kuna watu waliwabeza sana polisi kuwa ni waoga. Watu hao ni mburula wasiojua misingi ya kijeshi ya udhibiti wa makundi ya umma katika kupromote utulivu wa jamii katika vipindi nyeti kama hivi.
 
mkuu nina hasira na CcM hadi basi tu nataka kufanya mauwaji mapema na kichinjiyo changu ili roho itulie, namshukuru sana Mungu kwa kunifikisha leo.
 
Kura feki kutangazwa ni uongo wa chadema kutaka watu wakasirikie ccm.

Mbona wao wanaiba tu wapo wanatoka jasho kwa kila namna?
 
Mimi ninachomuomba Mwenyezi Mungu ni kwamba UKAWA ishinde. Lakini isiposhinda bado nitaamini wamepanga iwe hivyo. Kwa nini? Magufuli amekamatwa LIVE na CAG kama MWIZI MZOEFU wa mali ya umma kwa kutunga mradi hewa wa barabara na kuupa namba hewa ya mradi na hivyo kuchota mabilioni ya hela. Cha ajabu ni kwamba UKAWA hawajalizungumzia hili suala kipindi chote cha uchaguzi!!!

Na wasiwasi kwamba wanatupiga sisi wananchi changa la macho wakati kumbe wana makubaliano ya kulindana dhidi ya raia wasio na hatia na wanaohangaika kutaka mabadiliko.
 
Wabongo nouma kwa Kubisha ufala ufala,apo juu anaona picha ila lzm abishe kwa kulinda chama chake fisiemu ,Ndio maana mnaitwa fisiemu
 
Back
Top Bottom