engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,150
- 1,437
ndugu wana jamvi
miezi miwili iliyopita mtoto wa mengi alitaka kubambikiwa madawa ya kulevya na baadhi ya wakuu wa polisi hapa tz,na mzee mengi aliwataja kwa majina wahusika na akawaeleza kama wanaona kawachafulia majina basi waende mahakamani yeye mengi yupo tayari kwa hilo,nacho jiuliza kwa sasa ni kwamba je wale walio tajwa kwa majina wamefunguwa kesi yeyote ya kuchafuliwa majina yao? na kama hawajafunguwa kesi yeyote mahakamani je wana jf hawa polisi waliotajwa kwa majina inamaanisha wanakubali kuwa kweli mengi yupo sahihi juu ya tuhuma hizo kwao,na kama tuhuma hizo ni za kweli nini kimefanyika juu ya hawa polisi waliotaka kufanya unyama huo?
kwani tunajuwa kuwa walioko jela si wote wenye makosa ya kweli,baadhi yao wamebambikiwa kama ilivyotaka kutokea kwa mtoto wa mengi
wenye kujuwa nini kinaendelea juu ya hili swala karibuni jamvini
mapinduziiiiiiii daimaaaaaaa
Hapo ndo ninapochoka na TANZANIA yetu................. huko nako akilikoroga watamuhamishia kwingine...........nasikia wamehamishwa, mzee wa kitengo cha kuzuia madawa amepelekwa makao makuu upelelezi na RPC nae amepelekwa makao makuu
ndugu wana jamvi
miezi miwili iliyopita mtoto wa mengi alitaka kubambikiwa madawa ya kulevya na baadhi ya wakuu wa polisi hapa tz,na mzee mengi aliwataja kwa majina wahusika na akawaeleza kama wanaona kawachafulia majina basi waende mahakamani yeye mengi yupo tayari kwa hilo,nacho jiuliza kwa sasa ni kwamba je wale walio tajwa kwa majina wamefunguwa kesi yeyote ya kuchafuliwa majina yao? na kama hawajafunguwa kesi yeyote mahakamani je wana jf hawa polisi waliotajwa kwa majina inamaanisha wanakubali kuwa kweli mengi yupo sahihi juu ya tuhuma hizo kwao,na kama tuhuma hizo ni za kweli nini kimefanyika juu ya hawa polisi waliotaka kufanya unyama huo?
kwani tunajuwa kuwa walioko jela si wote wenye makosa ya kweli,baadhi yao wamebambikiwa kama ilivyotaka kutokea kwa mtoto wa mengi
wenye kujuwa nini kinaendelea juu ya hili swala karibuni jamvini
mapinduziiiiiiii daimaaaaaaa
Inasikitisha sana! ndio maana we seriously need a change in country. Mambo mengi sana yanayowahusu the so called wakubwa yanafunikwa tu . Tukumbuke pia issue ya Masha na Mengi, nayo pia iliishia juu juu tuVisa vingi sana vya hapa nyumbani vina mwanzo usio na mwisho, jaribu kukumbuka issues kibao unambie mwisho wake ulikua nini, mfano, the most current one, wale tulioambiwa walikamatwa kwa RUSHWA hivi majuzi kwenye hekaheka za uchaguzi, kesi zao zimeishia wapi? ukiacha yule jamaa tu aliyekataa kumsujudia kiranja mkuu kule jimboni, kesho yake akapandishwa kizimbani, where are the others? si unawajua? walienda wapi? vp kesi za ubadhirifu na kashfa kedekede ambazo ni mamia zipo hazina mwisho mkuu, inauma saaaana
Visa vingi sana vya hapa nyumbani vina mwanzo usio na mwisho, jaribu kukumbuka issues kibao unambie mwisho wake ulikua nini, mfano, the most current one, wale tulioambiwa walikamatwa kwa RUSHWA hivi majuzi kwenye hekaheka za uchaguzi, kesi zao zimeishia wapi? ukiacha yule jamaa tu aliyekataa kumsujudia kiranja mkuu kule jimboni, kesho yake akapandishwa kizimbani, where are the others? si unawajua? walienda wapi? vp kesi za ubadhirifu na kashfa kedekede ambazo ni mamia zipo hazina mwisho mkuu, inauma saaaana
Sasa hivi nasikia wanasema mtoto wa huyu mzee ni msagaji,sijui hili nalo lina ukweli au ni hayo hayo tu ya kupakana matope!
Kweli Ndugu yangu hata mimi najiuliza kuhusu kesi ya Zombe na wenzake si serikali ilisema itakata rufaa, na process ilianza sijui kwa nini watu wa mahenge hawakumuuliza JK kwenye kampeni. We acha TZ inamavitu ya ajabu[/QU
Its over....sheria sio siasa
Sasa hivi nasikia wanasema mtoto wa huyu mzee ni msagaji,sijui hili nalo lina ukweli au ni hayo hayo tu ya kupakana matope!
Walio tajwa walikanusha kwenye media, mmoja alisema kuwa wakati hili linatokea alikuwa nje ya nchi: nadhani inatosha au ni lazima waende mahakamani kama alivyo elekeza media tycoon?!