polisi na mtoto wa mengi

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
ndugu wana jamvi
miezi miwili iliyopita mtoto wa mengi alitaka kubambikiwa madawa ya kulevya na baadhi ya wakuu wa polisi hapa tz,na mzee mengi aliwataja kwa majina wahusika na akawaeleza kama wanaona kawachafulia majina basi waende mahakamani yeye mengi yupo tayari kwa hilo,nacho jiuliza kwa sasa ni kwamba je wale walio tajwa kwa majina wamefunguwa kesi yeyote ya kuchafuliwa majina yao? na kama hawajafunguwa kesi yeyote mahakamani je wana jf hawa polisi waliotajwa kwa majina inamaanisha wanakubali kuwa kweli mengi yupo sahihi juu ya tuhuma hizo kwao,na kama tuhuma hizo ni za kweli nini kimefanyika juu ya hawa polisi waliotaka kufanya unyama huo?
kwani tunajuwa kuwa walioko jela si wote wenye makosa ya kweli,baadhi yao wamebambikiwa kama ilivyotaka kutokea kwa mtoto wa mengi

wenye kujuwa nini kinaendelea juu ya hili swala karibuni jamvini
mapinduziiiiiiii daimaaaaaaa
 
Sasa hivi nasikia wanasema mtoto wa huyu mzee ni msagaji,sijui hili nalo lina ukweli au ni hayo hayo tu ya kupakana matope!
 
Walio tajwa walikanusha kwenye media, mmoja alisema kuwa wakati hili linatokea alikuwa nje ya nchi: nadhani inatosha au ni lazima waende mahakamani kama alivyo elekeza media tycoon?!
 
ndugu wana jamvi
miezi miwili iliyopita mtoto wa mengi alitaka kubambikiwa madawa ya kulevya na baadhi ya wakuu wa polisi hapa tz,na mzee mengi aliwataja kwa majina wahusika na akawaeleza kama wanaona kawachafulia majina basi waende mahakamani yeye mengi yupo tayari kwa hilo,nacho jiuliza kwa sasa ni kwamba je wale walio tajwa kwa majina wamefunguwa kesi yeyote ya kuchafuliwa majina yao? na kama hawajafunguwa kesi yeyote mahakamani je wana jf hawa polisi waliotajwa kwa majina inamaanisha wanakubali kuwa kweli mengi yupo sahihi juu ya tuhuma hizo kwao,na kama tuhuma hizo ni za kweli nini kimefanyika juu ya hawa polisi waliotaka kufanya unyama huo?
kwani tunajuwa kuwa walioko jela si wote wenye makosa ya kweli,baadhi yao wamebambikiwa kama ilivyotaka kutokea kwa mtoto wa mengi

wenye kujuwa nini kinaendelea juu ya hili swala karibuni jamvini
mapinduziiiiiiii daimaaaaaaa

Yule Nzowa ambaye alikuwa mkuu wa kikosi cha kupambana na dawa za kulevya na aliyetajwa na Mengi kupokea mil 40 toka kwa wabaya wa Mengi ili afanikishe hiyo ishu amehamishwa tayari kapangiwa kazi ingine. wameshayamaliza wenyewe aka kulindana
 
nasikia wamehamishwa, mzee wa kitengo cha kuzuia madawa amepelekwa makao makuu upelelezi na RPC nae amepelekwa makao makuu
 
Hapo ndo ninapochoka na TANZANIA yetu................. huko nako akilikoroga watamuhamishia kwingine...........
 
ndugu wana jamvi
miezi miwili iliyopita mtoto wa mengi alitaka kubambikiwa madawa ya kulevya na baadhi ya wakuu wa polisi hapa tz,na mzee mengi aliwataja kwa majina wahusika na akawaeleza kama wanaona kawachafulia majina basi waende mahakamani yeye mengi yupo tayari kwa hilo,nacho jiuliza kwa sasa ni kwamba je wale walio tajwa kwa majina wamefunguwa kesi yeyote ya kuchafuliwa majina yao? na kama hawajafunguwa kesi yeyote mahakamani je wana jf hawa polisi waliotajwa kwa majina inamaanisha wanakubali kuwa kweli mengi yupo sahihi juu ya tuhuma hizo kwao,na kama tuhuma hizo ni za kweli nini kimefanyika juu ya hawa polisi waliotaka kufanya unyama huo?
kwani tunajuwa kuwa walioko jela si wote wenye makosa ya kweli,baadhi yao wamebambikiwa kama ilivyotaka kutokea kwa mtoto wa mengi

wenye kujuwa nini kinaendelea juu ya hili swala karibuni jamvini
mapinduziiiiiiii daimaaaaaaa

Kweli Ndugu yangu hata mimi najiuliza kuhusu kesi ya Zombe na wenzake si serikali ilisema itakata rufaa, na process ilianza sijui kwa nini watu wa mahenge hawakumuuliza JK kwenye kampeni. We acha TZ inamavitu ya ajabu
 
Visa vingi sana vya hapa nyumbani vina mwanzo usio na mwisho, jaribu kukumbuka issues kibao unambie mwisho wake ulikua nini, mfano, the most current one, wale tulioambiwa walikamatwa kwa RUSHWA hivi majuzi kwenye hekaheka za uchaguzi, kesi zao zimeishia wapi? ukiacha yule jamaa tu aliyekataa kumsujudia kiranja mkuu kule jimboni, kesho yake akapandishwa kizimbani, where are the others? si unawajua? walienda wapi? vp kesi za ubadhirifu na kashfa kedekede ambazo ni mamia zipo hazina mwisho mkuu, inauma saaaana
 
Inasikitisha sana! ndio maana we seriously need a change in country. Mambo mengi sana yanayowahusu the so called wakubwa yanafunikwa tu . Tukumbuke pia issue ya Masha na Mengi, nayo pia iliishia juu juu tu
 
Visa vingi sana vya hapa nyumbani vina mwanzo usio na mwisho, jaribu kukumbuka issues kibao unambie mwisho wake ulikua nini, mfano, the most current one, wale tulioambiwa walikamatwa kwa RUSHWA hivi majuzi kwenye hekaheka za uchaguzi, kesi zao zimeishia wapi? ukiacha yule jamaa tu aliyekataa kumsujudia kiranja mkuu kule jimboni, kesho yake akapandishwa kizimbani, where are the others? si unawajua? walienda wapi? vp kesi za ubadhirifu na kashfa kedekede ambazo ni mamia zipo hazina mwisho mkuu, inauma saaaana

Mi niliposema nidhamu ya woga ndio inatumaliza waTZ ckueleweka na wengine kuniona mchochezi wa fujo...ngoja tukae kimya wakubwa na wenye nnchi waendelee kupeta, ishu zote na kashfa za mamolion zinaishia juu juu coz wajua waTZ ni wasahaulifu na waoga, jamani tumeshindwa hata kuandama?????. One day tutalia sana.
 
Kweli Ndugu yangu hata mimi najiuliza kuhusu kesi ya Zombe na wenzake si serikali ilisema itakata rufaa, na process ilianza sijui kwa nini watu wa mahenge hawakumuuliza JK kwenye kampeni. We acha TZ inamavitu ya ajabu[/QU

Its over....sheria sio siasa
 
Tusisahau kesi ya Rada imesomwa huko Uingereza na hapa tuliambiwa imesha fungwa,angalizo ni kuwa mambo ya wakubwa yanaishia kwa kuyamaliza kimya kimya ,hata mambo ya mzee wa vijisenti ingekuwa yamefanyika hapa bongo mambo yangeishia kinyemela,hii ndio bongo ukiwa nacho hakuna atakayekugusa
 
imeishua kuamishwa kwa watu na kurudishwa mkao makuu , hakuna lolote nao takukuru wansubiri mtu afe ndio wachunguze, uchunguzi hadi lini?
 
nashukuru wana jamvi kweli kuna mengi yanayo uzi ktk hii nchi na yanaishia kimyakimya,sasa tusubili la mtoto wa lowasa nalo sijui mwisho wake utakuwaje,kweli hii ni bongo zaidi tuijuavyo
mapinduziiii daimaaaa
 
Walio tajwa walikanusha kwenye media, mmoja alisema kuwa wakati hili linatokea alikuwa nje ya nchi: nadhani inatosha au ni lazima waende mahakamani kama alivyo elekeza media tycoon?!

Ma boss wa Mafia wakati wa Prohibition ilikuwa wakitaka kuua mtu kwanza, wanatengeneza alibi. Wanaenda nje ya mji, au wakati wa tukio wanakuwa kwenye party fulani yenye watu wengi ili wakija kuulizwa waseme "Nilikuwa kwenye party wakati huo na watu wote waliniona"

Si lazima uwepo nchini ku mastermind vitu kama hivi, unaweza kuchora chess na kuwaachia ma kople wafanye execution. Kwa hiyo kuwa nje ya nchi si utetezi katika level ya ma blueprint huko.

Labda aseme jingine.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom