engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,440
ndugu wana jamvi
miezi miwili iliyopita mtoto wa mengi alitaka kubambikiwa madawa ya kulevya na baadhi ya wakuu wa polisi hapa tz,na mzee mengi aliwataja kwa majina wahusika na akawaeleza kama wanaona kawachafulia majina basi waende mahakamani yeye mengi yupo tayari kwa hilo,nacho jiuliza kwa sasa ni kwamba je wale walio tajwa kwa majina wamefunguwa kesi yeyote ya kuchafuliwa majina yao? na kama hawajafunguwa kesi yeyote mahakamani je wana jf hawa polisi waliotajwa kwa majina inamaanisha wanakubali kuwa kweli mengi yupo sahihi juu ya tuhuma hizo kwao,na kama tuhuma hizo ni za kweli nini kimefanyika juu ya hawa polisi waliotaka kufanya unyama huo?
kwani tunajuwa kuwa walioko jela si wote wenye makosa ya kweli,baadhi yao wamebambikiwa kama ilivyotaka kutokea kwa mtoto wa mengi
wenye kujuwa nini kinaendelea juu ya hili swala karibuni jamvini
mapinduziiiiiiii daimaaaaaaa