polisi na kiingereza

buffalo44

JF-Expert Member
May 8, 2016
4,303
10,116
Hiki ndicho kiingereza cha polisi wa TZ

Polisi alimkamata mzungu
"Yesterday I saw you at the maize shop(akimanisha jana nilikuona dukani kwa mhindi)
When you saw me you started to six six(uliponiona ukaanza kusitasita)
When I follow you run and plant car(nilipokufata ulikimbia na kupanda gari)
Now you are down of security(sasa uko chini ya ulinzi)
Sleep and snake well before I cut you millet(lala na nyooka vizur kabla sijakukata mtama)
+shikamo kingereza+
 
Ni upuuzi wa kimawazo wa level ya phd kuhusisha kosa la mtu mmoja ukaididisvalue jamii yote ya watu wa kariba yake......

kwani wasomi wangapi waliohitimu elimu ya juu wanagonga yai viza la maana kwenye ngeli..??..
 
muulize ASKAR
 
Mkuu hii ni jokes punguza jazba au wewe ni Afande ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom