geprony
Member
- Mar 17, 2009
- 23
- 1
Hello all
Natumaini kwa namna mmoja ama nyingine umesikia kilichotokea huko Arusha hivi karibuni, kama bado basi habari ni kwamba polisi mmoja wa kike amejipiga risasi kisa kakoromewa na maofisa wa usalama wa taifa baada ya kukosea kuongoza msafara wa mweshimiwa Rais.
Swali ninalojiuliza ni hili, hivi hawa vijana wa usalama wa taifa wana haki gani ya kumfokea na kumtishia askari mwenzao sababu tu kakosea kitu kidogo, pili je hawa usalama wa taifa wanafanya kazi ki-professional au ndio mjomba mjomba na kutumia mabavu na je mweshimiwa rais au usalama wa taifa wenyewe wame toa tamko lolote au angalau kufutilia kujua ukweli wa kashfa hii.
Mimi binafsi ningependa usalama wa taifa wafuatilie hili na pili kama ni kweli hiyo ndiyo sababu ya huyo askari kujiua basi waombe msamahani na askari huska wachukuliwe hatua za kisheria.