Omba kuonana na Mkuu wa kituo nae usikie anasemaje!?Imepita kama miezi miwili na ushee tangu niibiwe tv yangu inch 43 na subwufa kwa bahati mbaya mtu aliyeiba alipigwa na wananchi wenye hasira kali na kupoteza maisha ila kabla ya kupoteza maisha nilikuwa tayari nimetoa taarifa ya kuibiwa kwa vitu vyangu na miongoni mwa suspect nilio wataja na huyo jamaa aliyepigwa na kufariki alikuwemo kibaya zaidia au kizuri zaidi ni kuwa alifia njiani akiwa anapelekwa hospitali.
Nimejaribu kufatilia ili nipewe vitu vyangu kwa maana hakuna kesi iliyopelekwa mahakamani kwamba vitu vitatumika kama ushahidi hapana pia mimi mwenyewe niliwambia polisi kuwa sitaki kuendeleza kesi kwasababu nimeshavipata vitu vyangu lakini cha ajabu mpaka sasa sijapewa vitu vyangu na kila nikienda kuulizia naambiwa nisubiri
Je nikweli sheria ndo iko hivo au nazungushwa tu maana kuna watu wengine washaanza kysema kuwa vitu vikipelekwa polisi ni ngumu kuvipata kwanni na ni mali yangu
kesi yako iko mkoa upi?Mkuu wa kituo kwa maana osiesi au maana kama ni huyo nishaonana naye mara kibao tena ye ndo ananizungusha sijajua wanata pesa au vipi
Ukute ipo sebuleni kwa mchepuko wa huyo huyo mkuu wa kituo.Omba kuonana na Mkuu wa kituo nae usikie anasemaje!?
Duuuuuh....Imepita kama miezi miwili na ushee tangu niibiwe tv yangu inch 43 na subwufa kwa bahati mbaya mtu aliyeiba alipigwa na wananchi wenye hasira kali na kupoteza maisha ila kabla ya kupoteza maisha nilikuwa tayari nimetoa taarifa ya kuibiwa kwa vitu vyangu na miongoni mwa suspect nilio wataja na huyo jamaa aliyepigwa na kufariki alikuwemo kibaya zaidia au kizuri zaidi ni kuwa alifia njiani akiwa anapelekwa hospitali.
Nimejaribu kufatilia ili nipewe vitu vyangu kwa maana hakuna kesi iliyopelekwa mahakamani kwamba vitu vitatumika kama ushahidi hapana pia mimi mwenyewe niliwambia polisi kuwa sitaki kuendeleza kesi kwasababu nimeshavipata vitu vyangu lakini cha ajabu mpaka sasa sijapewa vitu vyangu na kila nikienda kuulizia naambiwa nisubiri
Je nikweli sheria ndo iko hivo au nazungushwa tu maana kuna watu wengine washaanza kysema kuwa vitu vikipelekwa polisi ni ngumu kuvipata kwanni na ni mali yangu
Pole kwa matatizo mkuu. Shida imeanzia uliposema vitu umeshavipata, wakati vitu bado vipo mikononi mwa polisi. Kama hakukuwa na kesi (jalada lililofunguliwa) imekuaje vitu vyako kuwa mikononi mwa polisi? Kuna kitu unakifumbia macho (kukipotezea) ndio maana hupigi hatua. Ushauri, rudi tena polisi wakuelezee kiundani, nina uhakika utaelewa na itakuwa rahisi kwako kufuata taratibu sahihi zilizowekwa kupata vitu vyako.Imepita kama miezi miwili na ushee tangu niibiwe tv yangu inch 43 na subwufa kwa bahati mbaya mtu aliyeiba alipigwa na wananchi wenye hasira kali na kupoteza maisha ila kabla ya kupoteza maisha nilikuwa tayari nimetoa taarifa ya kuibiwa kwa vitu vyangu na miongoni mwa suspect nilio wataja na huyo jamaa aliyepigwa na kufariki alikuwemo kibaya zaidia au kizuri zaidi ni kuwa alifia njiani akiwa anapelekwa hospitali.
Nimejaribu kufatilia ili nipewe vitu vyangu kwa maana hakuna kesi iliyopelekwa mahakamani kwamba vitu vitatumika kama ushahidi hapana pia mimi mwenyewe niliwambia polisi kuwa sitaki kuendeleza kesi kwasababu nimeshavipata vitu vyangu lakini cha ajabu mpaka sasa sijapewa vitu vyangu na kila nikienda kuulizia naambiwa nisubiri
Je nikweli sheria ndo iko hivo au nazungushwa tu maana kuna watu wengine washaanza kysema kuwa vitu vikipelekwa polisi ni ngumu kuvipata kwanni na ni mali yangu
Asante mkuu wenda mimi ndo nakosea process ngoja kesho niulize nini nifanyePole kwa matatizo mkuu. Shida imeanzia uliposema vitu umeshavipata, wakati vitu bado vipo mikononi mwa polisi. Kama hakukuwa na kesi (jalada lililofunguliwa) imekuaje vitu vyako kuwa mikononi mwa polisi? Kuna kitu unakifumbia macho (kukipotezea) ndio maana hupigi hatua. Ushauri, rudi tena polisi wakuelezee kiundani, nina uhakika utaelewa na itakuwa rahisi kwako kufuata taratibu sahihi zilizowekwa kupata vitu vyako.
Elezea hatua kwa hatua huo utaratibu ambao anapaswa kuufuata ili aweze kuvipata hivyo vitu vyake ambavyo vipo mikononi mwa Polisi.Pole kwa matatizo mkuu. Shida imeanzia uliposema vitu umeshavipata, wakati vitu bado vipo mikononi mwa polisi. Kama hakukuwa na kesi (jalada lililofunguliwa) imekuaje vitu vyako kuwa mikononi mwa polisi? Kuna kitu unakifumbia macho (kukipotezea) ndio maana hupigi hatua. Ushauri, rudi tena polisi wakuelezee kiundani, nina uhakika utaelewa na itakuwa rahisi kwako kufuata taratibu sahihi zilizowekwa kupata vitu vyako.