Na Polisi yake ndio ina credibility?
![]()
![]()
![]()
Chagonja ni mwehu mwingine baada ya kova
nikongo au bongoNa Polisi yake ndio ina credibility?
![]()
![]()
![]()
Mimi nadhani jeshi la polisi ndo haliaminiki, hebu tumuulize Chagonja ripoti zifuatazo ziko wapi? Ili tuone kama anasifa za kuendelea kuwa kwenye tume
Mauaji ya Mwangosi,
Mauaji ya Nyamongo
Mauaji ya Arusha
Mauaji ya Songea
Kote huko alikuwa kwenye tume alileta mrejesho gani zaidi ya kutumia kodi za Watanzania kwa manufaa ninafsi? Akijibu hapa ndo amnyooshee Mbowe kidole
Usemayo ni kweli kabisa siku hizi MODS wanashangaza sana! Hebu jaribu kuanzisha topic isemayo 'Chagonja hana credibility' kama hujaona ikihamishwa within seconds.
anapena kazi au hapendiHahha!
Kasha muhoji Nape? Mwigulu? Mtikila? Maana wote walisema wanajua.
MODS hii sio ya kukaa kimya, itoleeni maelezo mtutoe shaka
Usemayo ni kweli kabisa siku hizi MODS wanashangaza sana! Hebu jaribu kuanzisha topic isemayo 'Chagonja hana credibility' kama hujaona ikihamishwa within seconds.
I have never heard that Police department are the one to provide credibility to politicians. Isn't not CHAGONJA who lied openly that Mwangosi was not assassinated by the Police force at Nyololo Iringa?
Waropokaji wako wengi, wengine walisema mbayuwayu, wengine wamesema polisi pigeni tu, wauaji wa albino nao wauawe, so sio mbowe alonewote tunafaham mbowe ni mlopokaki, kwa nin wanaacha akili ndogo iwaongoze cdm.
kwa hiyo chagonja ndo ana akili kubwa?wote tunafaham mbowe ni mlopokaki, kwa nin wanaacha akili ndogo iwaongoze cdm.