POLISI: Marufuku kukohoa pale unapopishana na mwanamke mwenye makalio makubwa, hilo ni shambulio la aibu tutakukamata

Kama mada inavyojieleza

Kamanda mmoja wa polisi amesema ni marufuku kukohoa pale unapopishana au unapomwona mdada/mwanamke mwenye makalio makubwa

Kamanda huyo amesisitiza kwamba kukohoa huko kutapelekea kukamatwa kwa maana kitendo hicho ni "Shambulio la aibu"

Chanzo:video mtandaoni nimeshindwa kuiupload hapa
tii sheria bila shulta
IMG_20180515_132021_229.jpg
 
Huyo polisi yupo sawa
1. Hakuna mtu aliyejiamulia awe hivyo alivyo ni uumbaji wa Mungu

2. Kutokana na uumbaji huo kuna baadhi wameumbwa tofauti kidogo na wengine sasa kuna mamtu yanamfanya akose raha ya kuishi duniani kama kwamba aliamua yeye. Akipita ni miluzi mara kejeli za kila aina. Dunia hii ni ya wotw tunatakiwa tuishi sote kwa tofauti zatu bila kuingilia uhuru wa mtu ama kumfanya mwingine ashindwe kufurahia furaha ya kuumbwa kwake. Tofauti zoote tulizonazo ni Mungu aliamua iwe hivyo kwani kama angependwa woote tufanane kama mapacha sawa angeweza, tufanane kama maharagwe angeweza, woote tuwe wazungu angeweza, woote tuwe wakristo angeweza, woote tuwe waislam angeweza, woote tuwe wahindu angeweza lakini alitupa tifauti ili tutambue ukuu wake. Tusikosoe , kushangaa wala kudharau kazi ya Mungu
 
Back
Top Bottom