POLISI maarufu akamatwa na watu wa USALAMA!!!

POLISI maarufu akamatwa na watu wa USALAMA!!!

Huyu jamaa kama sijamfananisha anaitwa Emma alikuwepo hata kwenye video za Jerry Muro anakula rushwa live alihamishwa tu ni brotherman sana na la ziada ni sio mwenzetu aka mchicha mwiba alias mtoto wa watu

Wee, apia!! Kumbe hata jeshini hawa watu wapo??
 
Hakuna aliye mkamilifu,hata wewe kama unafanya kazi au biashara kuna vitu ambavyo unavifanya si sawa kwa kujua au bila kujua


Sent from my iPhone using JamiiForums app
kauli pumbavu
Sheria inavunjwa na mlinzi wa sheria wewe unaleta mavvuzi kichaa
 
Back
Top Bottom