ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,048
- 6,199
Kama hasemi kweli dawa ni kumkanusha kwa vielelezo. Mengine yoyote ni porojo.ni vyema akasema anachotaka! anataka kugombea 2020 au ni nini? ni kama vile anatumika na watu fulani kinyume na maslai ya watanzania
asidanganyike na comments za watu wachache humu jf, mtaani watu hawamuelewi especially hio speech yake ya mwisho
CCM, polisi na wajinga wajinga kama nyie kumchangia mtu mmoja ni kujiita Vidume? Yaani kumbambikia kesi kuwakomoa ni ujanja huko CCM? Malipo ni hapa hapa Duniani.Alijiona kidume
wacha vidume waukweli wamuonyeshe
Wajinga niwale wano Shabikia Ujinga wa MjingaCCM, polisi na wajinga wajinga kama nyie kumchangia mtu mmoja ni kujiita Vidume? Yaani kumbambikia kesi kuwakomoa ni ujanja huko CCM? Malipo ni hapa hapa Duniani.
Tunasubiri na wale wanaume wa NoahAlijiona kidume
wacha vidume waukweli wamuonyeshe
HOJA?Alijiona kidume
wacha vidume waukweli wamuonyeshe
Wengi hawana vyeti na njia ya kukwepa kuhojiwa vyeti ni kuwabambikia kesi chadema na kuwakomoa Wapinzani kwa ujumla.
Walikuwepo madikteta Hatari akina Sadam Husein, idd Amin, Bokassa Chiluba na wenzao Leo hii wapo wapi?Kunyooka ndio nini punguwani wewe. Ngosha mwenzio lazima aambiwe ukweli. Asifikiri Tanzania yote ni ya wasukuma.
Ni vyema vyeti vya polisi wote wanaotumika kuwabambikia kesi chadema vichunguzwe hata huyo mkondya wachunguze vyeti vyake maana huko kujipendekeza kumepitiliza sasaSiku hizi ukitoa maoni tofauti wewe in mchochezi, Hivi sasa kuna kampeni ya yule mwanadamu abakie nafasi ile, Waanzilishi wa kampeni ile hadi sasa hawajakamatwa kwa kuchochea yule mwanadamu abakie nafasi ile, Na ikitokea na wewe ukaanzisha kampeni ya yule mwanadamu aondoke haraka kwenye nafasi ile nakuhakikishia siku hiyo hiyo utadakwa na utaitwa mchochezi!!! UNAFIKI ni kitu kibaya sana.UNAFIKI haukuwahi kumuacha MTU salama kwenye ile Nchi ya Tumaini hewa.
Mungu yupo usidhani Duwa lako la kuku litampata mwewe Roho mbaya unadhani hutakufa wewe, umeweka dawa za kulevya kwenye maji na chakula kumpelekea Lisu unadhani Mungu hajakuona? Watanzania wanajua njama zako zote na malipo ni hapa hapa Duniani.Akitoka huko mtatamani angebaki!
Eti aligoma kutoa mkojo, wangetaka hata mavi angetoa...
Lisu wanajua kuwa ni Uonevu ndiyo maana Bashite Maliyamungu kaamua kumwekea Dawa za kulevya kwenye maji na chakula ili wakampime mkojo wakute unga wambambikie kesi feki ya unga.tundu lissu naweza kumtetea alitumia Uhuru binafsi ila kubenea hana utetezi alichochea vurugu za cut wakati si mwanachama
IGP aliyetenguliwa juzi juzi alikuwa na msimamo aligoma kuwabambikia kesi Wapinzani ndiyo maana Mtukufu malaika wa chato kamweka pembeni nadhani yy mungu atamsaidia kuishi pasipo ufukara.Kama kuna watu wamesahaulika nchi hii ni ma-IGP waliopita!! Walitumika utumishi uliotukuka walipoondoka baada ya visu vya CUF, Mazombi, Mwembechai, Arusha nk. Hata ubunge wala uenyekiti wa mtaa hawakufaa!!
CHEO NI DHAMANA
Swali: Kwani huyu anamzidi yule mzee Ngunguri?IGP aliyetenguliwa juzi juzi alikuwa na msimamo aligoma kuwabambikia kesi Wapinzani ndiyo maana Mtukufu malaika wa chato kamweka pembeni nadhani yy mungu atamsaidia kuishi pasipo ufukara.
Lisu ndio pekee anaeitingisha Ngosha Empire....Mbona umekomaa sana na Lisu mkuu!