Labda mtaa wa Lumumba ndio hawamuelewi lakini mungu amemjaalia Lissu kuyaongelea yale yanayowagusa watanzania.ni vyema akasema anachotaka! anataka kugombea 2020 au ni nini? ni kama vile anatumika na watu fulani kinyume na maslai ya watanzania
asidanganyike na comments za watu wachache humu jf, mtaani watu hawamuelewi especially hio speech yake ya mwisho
Vichocheo vinaweza kuwa vimebakia kwenye mikojo !Mauzauza yanayoendelea hapa Bongo yanachekesha sana! Sasa vipimo vya mkojo vinahusika vp na kesi ya uchochezi
Wewe unajificha huko ughaibuni alafu Unathubutu kukaza sehemu zako zote za siri na kusema "atanyooka tu?"Atanyooka tu.
Tumuombee MunguWasimfanyie ya Ban saa 8 tu ! Ila wanasheria wa kikao alichokua anaenda,wana taarifa,huo ndo uzuri wake.akiuwawa kazi yake itakua sio ya kidogokidogo ! Mungu zidi kuondoa ficho la ccm ili ubabe wao ufahamike dunia nzima.nakuamini kwakua unajibu nikuitapo,Amen.
Sent using Jamii Forums mobile app
ooho kama ni mungu kamjaalia ndio maana haeleweki, ila ingekuwa ni Mungu aliemjaalia angeeleweka na wote hadi hao wa lumumbaLabda mtaa wa Lumumba ndio hawamuelewi lakini mungu amemjaalia Lissu kuyaongelea yale yanayowagusa watanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wayahudi si ndo walimpa kichapo !Wewe kuwa kitaani na kulala kwako.umshukuru lisu uvumilivu wake na viongozi wa upinzani.ipo siku utaelewa.
Lisu kama yesu kwa wayahudi.hawakumuelewa mpaka alipo ondoka.ni wachache tuna muelewa lisu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kuna wanaopingana na matakwa ya Mungu tangu dunia imeumbwa na bado wapo. Vyeo vya duniani na mamlaka uwajengea KIBURIooho kama ni mungu kamjaalia ndio maana haeleweki, ila ingekuwa ni Mungu aliemjaalia angeeleweka na wote hadi hao wa lumumba
jf inawakilisha % ndogo sana ya watanzania, msijidanganye na comments zenu hapa, reality huko nje ni tofauti kabisa
Duh nimeipenda hiyoKwa sababu anahitaji na anastahili kunyooshwa.
Wao wanamnyoosha huko central nami nawanyoosha wapambe wake huku.
Kweli wewe utazidi kuwa mjinga yani Lissu tumwelewe kma Yesu, unahtaji maombi, usilinganishe mambo ya Mungu na haya ya kidunia, Yesu hana wakulinganishwa nayeWewe kuwa kitaani na kulala kwako.umshukuru lisu uvumilivu wake na viongozi wa upinzani.ipo siku utaelewa.
Lisu kama yesu kwa wayahudi.hawakumuelewa mpaka alipo ondoka.ni wachache tuna muelewa lisu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uboya bwana Mdogo, ukabila unakusumbua eehAtanyooka tu.
Kubenea hana janja ya kujificha porini wala ya kuvamia usiku hivyo hana pa kwenda kwa hiyo Tanzania ni ndogo kwake tofauti na wale jamaaLeo mnatuambia Kubenea ajitokeze mwenyewe Tanzania ni ndogo. Lakini kwa ma criminals wengine waua watu Tanzania inakuwa kubwa, au? Waambieni the true desperados wa Pwani nao wajitokeze wenyewe Tanzania ni ndogo!
Wewe Kamanda Mkondya, bosi wako Kamanda Sirro ameuambia umma kwamba Kibiti ni mbali sana polisi hawana jinsi ya kufika hivyo wananchi wajilinde wenyewe. Tanzania ni kubwa mno kwenu nyinyi polisi msio na weledi.
Labda mtaa wa Lumumba ndio hawamuelewi lakini mungu amemjaalia Lissu kuyaongelea yale yanayowagusa watanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wale waliompa kichapo mwana mungu, huku babake akiwaangalia tuu !Na kuna wanaopingana na matakwa ya Mungu tangu dunia imeumbwa na bado wapo. Vyeo vya duniani na mamlaka uwajengea KIBURI
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha.. poor youAtanyooka tu.
Kumbe na wewe ni punguani kiasi hichi kukaa kote nje kumbe uko empty hv si bora urudi nyumbani pumbafuuu kabsa
Lol sina mbavu, kuna majibu mengine cyo ya kutoa mbali.Wewe ulitumika udogoni eeh...