Lissu sio mpumbavu kama unavyoandika hapo. Lissu ni kiongozi wa watu hivyo kumwita mpumbavu unamaanisha hata hao anao waongoza ni wapumbavu pia. Please futa kauli hiyo ili usiharibu mjadala kwa yatakayo fuata baada ya kauli yako hiyo.Kutofautiana ndo ninakokufanya mimi sasa.
Natofautiana na huyo mpumbavu Lissu na wapambe wake wa humu kuhusu madai yake ya nchi kuendeshwa kikanda na kikabila.
Sasa kuna kutofautiana zaidi ya hapo?
Si ajabu hata hukumaanisha kusema 'kutofautiana' lakini kwa vile huna akili na huna msamiati wa kutosha ndo maana umetumia hilo neno ambalo ndo linaelezea kwa ufasaha ninachokifanya hapa.
Teh teh teh....ujinga ni janga!
Tatizo lissu haijulikani anafanya yote hayo kwa maslahi ya kitu gani!!
Kama ni democrasia, lissu alitakiwa aanze kuhoji democrasia ya ndani ya chama chake kwanza, iweje mwenyekiti mbowe awe madarakani kwa miongo yote hiyo? Vp kuhusu Matumizi ya pesa za chama? Vipi kuhusu kumpokea lowassa ambaye waliimba ni fisadi? Vipi kuhusu kumpa ugombea wa uraisi mwanachama huyo(lowassa) wa wiki moja?
Utaratibu huu unafanywa na wanaharakati wengi sana, huanza kuhoji walipokaa kwanza, kina usafi? Turejee kwa Malema na ANC, Chacha Wangwe na CHAdema.... Na wengineo.
2. Lissu aseme yupo against na dunia nzima na watu wote wanaomuona magufuli anafanya haya yote kwa kutaka kuiokomboa nchi.
Toka JPM aingie, ameungwa mkono ktk move zake na watu mbalimbali kwasababu amekua akiyafanyia kazi yale ambayo kwa miongo mingi wapinzani wamekua wakiyapigia kelele. Mf. Tuneona jinsi aliyekua mbunge, mwanaharakati Kafulila, akimpongeza JPM kwa move yake ya kuifanyia kazi ishu ya escrow.
NINACHOKIONA MIMI
ninachokiona mimo ni kwamba, lissu ana kitu kinaitwa "political egoism" ambayo ameijenga juu ya "political trust" wananchi waliyoieeka kwake.
Lakini trust ya wananchi sasa inapotea dhidi ya kauli za lissu anazoendelea kuzitoa kila siku, ni wazi kwamba, hata ukifuatilia mitandao ya kijamii, wananchi wengie wamepoteza imani na lissu kwasababu wameshamuona lissu amekua "political ignorant"!!
Hii anayoicheza lissu ni kamali, tena kamali kubwa sana. Lissu anasahau kua mbali na vyama vya siasa nchi ina misingi yake.
Lissu ananikumbusha kauli za morgan tswangiray kule Zimbabwe aliposimama akasema anaunga mkono ushoga na kwamba akichukua madaraka atatudisha ardhi kwa wazungu walionyangaywa na mugabe, ili apate huruma ya wazungu, akisahau kwamba waafrika wanabaki waafrika bila kujali wapo kwenye hali gani...
Kilichomkuta mpinzani huyo wa zimbabwe, ule ndio ukawa mwisho wa siasa zake za upinzani kule zimbabwe.
Kwa hiyo namuona lissu anapoendelea kutoa kauli zake hizi ataishiwa kuchukukiwa na wananchi na vile vile kuendelea kupata kibano kutoka kwa serikali ambayo ni ya mabavu.
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
.....anamuiga LissuSiku moja moja jaribu kuficha ujinga wako mkubwa wewe sasa
Mkuu sina tatizo na mashtaka wala kushikiliwa kwa mtu.Mkuu usicheze na maagizo toka juu. Inalazimu uweke akili pembeni sheria pembeni na hata katiba ujifanye haipo.
Lissu sio mpumbavu kama unavyoandika hapo. Lissu ni kiongozi wa watu hivyo kumwita mpumbavu unamaanisha hata hao anao waongoza ni wapumbavu pia. Please futa kauli hiyo ili usiharibu mjadala kwa yatakayo fuata baada ya kauli yako hiyo.
Tanzania hakuna utawala wa sheria.Atanyooka tu.
Ndio shida ya kutumika kinyume cha maumbile ukubwani.Nope.
Sifuti ng'o.
Sifuti kwa sababu nipo sahihi.
Ndio shida ya kutumika kinyume cha maumbile ukubwani.
Tatizo lissu haijulikani anafanya yote hayo kwa maslahi ya kitu gani!!
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
.....kisa Lissu !, hii hata makengeza anawashangaa !Andaki lipo ikulu tu.na tena inawezekana lisimsaidie.
Endeleeni kuchochea kuni.muda si mrefu yale mnayoyaona syria kwenye TV.yatahamia hapa,
alaf muendelee kuvaa fulana za chama cha mitumba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili zako haziko sawa siku hizi, hivyo lazima kuna kitu kinakuharibu na utakuwa umekianza ukubwani.Wewe ulitumika udogoni eeh...
....ndo yupo hukooo ?.....wape ushirikiano wakamdake.Haha eti tutamtafuta popote tz, na tz ni ndogo sana hivi KIBITI iko mbali wapii!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana Lissu alisomea sheria hakuchagua fani ya spana.Tunasubiri kesho kupambazuke tumpokee uraiani
Vuta subira.labda abadilike.lakini akiendelea na kamata kamata.utakuja kushangaa dola 1 ni sh 30,000......kisa Lissu !, hii hata makengeza anawashangaa !
ni vyema akasema anachotaka! anataka kugombea 2020 au ni nini? ni kama vile anatumika na watu fulani kinyume na maslai ya watanzaniaTatizo lissu haijulikani anafanya yote hayo kwa maslahi ya kitu gani!!
Kama ni democrasia, lissu alitakiwa aanze kuhoji democrasia ya ndani ya chama chake kwanza, iweje mwenyekiti mbowe awe madarakani kwa miongo yote hiyo? Vp kuhusu Matumizi ya pesa za chama? Vipi kuhusu kumpokea lowassa ambaye waliimba ni fisadi? Vipi kuhusu kumpa ugombea wa uraisi mwanachama huyo(lowassa) wa wiki moja?
Utaratibu huu unafanywa na wanaharakati wengi sana, huanza kuhoji walipokaa kwanza, kina usafi? Turejee kwa Malema na ANC, Chacha Wangwe na CHAdema.... Na wengineo.
2. Lissu aseme yupo against na dunia nzima na watu wote wanaomuona magufuli anafanya haya yote kwa kutaka kuiokomboa nchi.
Toka JPM aingie, ameungwa mkono ktk move zake na watu mbalimbali kwasababu amekua akiyafanyia kazi yale ambayo kwa miongo mingi wapinzani wamekua wakiyapigia kelele. Mf. Tuneona jinsi aliyekua mbunge, mwanaharakati Kafulila, akimpongeza JPM kwa move yake ya kuifanyia kazi ishu ya escrow.
NINACHOKIONA MIMI
ninachokiona mimo ni kwamba, lissu ana kitu kinaitwa "political egoism" ambayo ameijenga juu ya "political trust" wananchi waliyoieeka kwake.
Lakini trust ya wananchi sasa inapotea dhidi ya kauli za lissu anazoendelea kuzitoa kila siku, ni wazi kwamba, hata ukifuatilia mitandao ya kijamii, wananchi wengie wamepoteza imani na lissu kwasababu wameshamuona lissu amekua "political ignorant"!!
Hii anayoicheza lissu ni kamali, tena kamali kubwa sana. Lissu anasahau kua mbali na vyama vya siasa nchi ina misingi yake.
Lissu ananikumbusha kauli za morgan tswangiray kule Zimbabwe aliposimama akasema anaunga mkono ushoga na kwamba akichukua madaraka atatudisha ardhi kwa wazungu walionyangaywa na mugabe, ili apate huruma ya wazungu, akisahau kwamba waafrika wanabaki waafrika bila kujali wapo kwenye hali gani...
Kilichomkuta mpinzani huyo wa zimbabwe, ule ndio ukawa mwisho wa siasa zake za upinzani kule zimbabwe.
Kwa hiyo namuona lissu anapoendelea kutoa kauli zake hizi ataishiwa kuchukukiwa na wananchi na vile vile kuendelea kupata kibano kutoka kwa serikali ambayo ni ya mabavu.
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
UchocheziAtanyooka tu.