Polisi kuwatawanya wamachinga kwa nguvu Arusha Kesho? Wataua tena?

mkuu jackbaur policcm watakuja early in the morning. machinga wajimobilize wakeshe hapo. km eneo lilitengwa for them na likauzwa kifisadi kwa fisadi then the right to defend it is inevitable. wakeshe kulilinda.

mkuu 2000yrs. Never in this world udhalimu ukadumu milele. waache magamba wafanye udhalimu wao lkn siku ipo na mungu muweza wa yote anaijua sana. yataisha haya. nani alijua kuwa apartheid itakuwa ni historia afrika kusini?
 
Hivi wauslamu walivyoandamana kudai wale waharifu wa sensa serikali ilituma FFU Kuwatanya au walizungumza nao na wakakubaliwa ingawaje matakwa yao yalikuwa ya kipuuzi. Hii nchi ina double standard ya sheria. Tunduru juzi wamechoma magari, nguruwe,magari ya wachungaji lkn mpaka sasa tunaona kimya. hakuna tamko la Mwema wala JK. Hii nchi mnaipeleka ktk vita za kudini. Kiukweli very soon TUTACHINJANA.
 
Ule msemo kuwa ARUSHA litakuwa chanzo cha ukombozi wa nchi hii kutoka kwa mkoloni CCM utatimia, wajaribu kufanya hayo waliyopanga na wataona reaction ya wana Arusha na watanzania wapenda mabadiriko.
 
Wasijaribu kufanya walichopanga kama ni kweli kwa kuwa watu wa hapa ni tofauti sana kisiasa na wa mikoa mingine, sanasana serikali na jeshi la police watawekeana uadui na wananchi. Kama eneo linasaidia familia 200, kwanini kumpa tajiri mmoja tu?
 
mimi huwa najiuliza kila siku, kwa nini matajir wanangangania kuchukua maeneo ya watu angali wanapesa za kuchukua maeneo mengine potensho kwa biashara zao?

Km ni hotel jenga mahali popote, wateja watakuja tu km inakiwango, sio lazima ukanganganie maeneo ya wazi
 
bora ingekuwa dar kule polisi bora wakae mbali watu maisha magumu mkawazingue hahaha
 
Dah natamani niwepo nijionee polisi anavyomwagwa utumbo kama mwangosi! Kila lakheri wamachinga tupo pamoja nanyi kwa sala!
 
mkuu 2000yrs. Never in this world udhalimu ukadumu milele. waache magamba wafanye udhalimu wao lkn siku ipo na mungu muweza wa yote anaijua sana. yataisha haya. nani alijua kuwa apartheid itakuwa ni historia afrika kusini?

Them bell full but we are hungry, the hungry mob is angry mob
 
mimi huwa najiuliza kila siku, kwa nini matajir wanangangania kuchukua maeneo ya watu angali wanapesa za kuchukua maeneo mengine potensho kwa biashara zao?

Km ni hotel jenga mahali popote, wateja watakuja tu km inakiwango, sio lazima ukanganganie maeneo ya wazi

Biashara zetu za kukariri na ndio maana wengi wanaamini biashara ni katikati ya mji wakati hotel ni popote, mbona bagamoyo watu wanakwenda. Hata serikali nayo inachangia maana kila wakijenga jengo la kitega uchumi lazima lipelekwe katikati ya mji
 
Hivi wauslamu walivyoandamana kudai wale waharifu wa sensa serikali ilituma FFU Kuwatanya au walizungumza nao na wakakubaliwa ingawaje matakwa yao yalikuwa ya kipuuzi. Hii nchi ina double standard ya sheria. Tunduru juzi wamechoma magari, nguruwe,magari ya wachungaji lkn mpaka sasa tunaona kimya. hakuna tamko la Mwema wala JK. Hii nchi mnaipeleka ktk vita za kudini. Kiukweli very soon TUTACHINJANA.

Nahisi hata kibali cha maandamano hawakuwa nacho. Hata siku walipoandamana kulaani kuzalilishwa kwa Mtume kwanye sakata la filamu iliyorushwa huko USA. Mambo yatakuwa namna hiyo 2015, kuandamana kwa kishindo kupinga uonevu wowote wa chama au mtu
 
Msisahau kuchukua matukio live.mwenye digital,mwenye kasimu ka mchina ili wasije wakasema marehemu apigwa na ''flying object''
 
Msisahau kuchukua matukio live.mwenye digital,mwenye kasimu ka mchina ili wasije wakasema marehemu apigwa na ''flying object''

watu walishatega cctv, ili ukweli uonekani nani anarusha kitu kizito/ chenye ncha kali.

siombei litokee jambo baya, ila najua tu mwisho wa siku watakuja kuilaumu chadema.

ccm/serikali/polis wafanye fair kila mahali km wananchi watalalamika.

Eneo unaliuza tena kinyemela alafu watu wakae kimya??? ebo mtaisoma mwaka huu
 
Back
Top Bottom