Je inaruhusiwa kisheria? Na hizo taarifa zinaweza kutumika mahakamani? Na hiyo ni moja ya kazi ya askari polisi wetu? Na je ni kwetu tu au kila nchi dunia nzima yanafanyika hayo?Ni moja ya njia ya kukusanya taarifa hasa kwa watuhumiwa wa kesi za jinai, mfano wamemtia hatiani mtuhumiwa wa mauaji ya Kibiti hawawezi kutumia lugha ya maneno tu kutafuta kile wanachotaka ila inatakiwa ufanyike kwa weledi sana.
Mtuhumiwa (suspect) ni mtu ambaye hajahukumiwa bado. Na haimaanishi kila mtuhumiwa atakuja kuhukumiwa kuna wengine wanaachiwa na kuonekana hawajatenda kosa. Sasa wanapoteswa na askari polisi wakiwa vituoni halafu mahakama ikaja kuwaachia huru, watesi wao hawatakiwi kuchukuliwa sheria?Ni moja ya njia ya kukusanya taarifa hasa kwa watuhumiwa wa kesi za jinai, mfano wamemtia hatiani mtuhumiwa wa mauaji ya Kibiti hawawezi kutumia lugha ya maneno tu kutafuta kile wanachotaka ila inatakiwa ufanyike kwa weledi sana.
Je hapa nchini kuna kesi ishawahi kufutwa na mahakama kwa sababu hiyo?Kutesa watuhumiwa ni kiwango cha juu kinachoeleza kutoendelea kwa taifa lolote (Barbarism). Ikithibitika polisi wametumia mateso kupata ushahidi, katika mifumo ya utoaji haki iliyoendelea, ni kigezo cha mahakama kufukuza kesi papo hapo.
Je hapa nchini kuna kesi ishawahi kufutwa na mahakama kwa sababu hiyo?
Kwa=kwani
Nitajie mfano wa nchi zilizoendelea.