Polisi kufuatilia kifo cha mwanafunzi wa udom inayesemekana kauliwa

Rafikiye Nusura atakuwa anajua vizuri.
Simu ndiyo mpango mzima watakuta mawasiliano yao.
Waokoaji pale ajali ilipotokea waliona kila kitu waende wanataka sisi wa huku nanjilinji tuwafanyie kazi zao nyie polisi.
 
Hivi yule mhuni Malaya wa huko MOSHI asiye na uadilifu aliyesababisha kifo Cha binti hatafanywa chochote? Ina maana some people are above the law?
Kama Kuna mtu ana simu ya mke wa huyo muhuni mshenzi muuaji anipe nimueleze mume wake anavyotembea na wanafunzi wa chuo.
Duh

Ova
 
Taifa lisilo na maadili ni useless ndio maana Kila report za cag ni upigaji uwajibikaji sifuri kabisa
Kwani huyo waziri akidhalilishwa kuna faida gani zaidi ya fedheha kwa taifa zima? Wanaume wote tupo hivyo, mtuhurumie tu, maana nyege mbaya nyie, na wanaume hawawezi ridhika nanmwanamke mmoja, hata Tom boy haridhiki na mwanmke mmoja , sembuse mwanaume?
 
Back
Top Bottom