Polisi kijana alivyoniharibia usiku wangu jana

Polisi kijana alivyoniharibia usiku wangu jana

Chai hii
Kwa jinsi ulivyo haujui haki zako Kama kweli alikung'ang'ania Konekshen ya halmashauri haikuchomoi hapo, labda ulichomoka na konekshen kutoka sehem nyingine
Soma Uzi wangu Kwa umakini nimeeleza kila kitu hapo na pia sikulazimishi kuamini man
 
Halmashauri wanafanya kazi na polis ndani ya eneo husika, hao ni wale askari wadogo wanaocheza na mida na skendoz.

Baada ya wewe kumpigia mtu wa halmashauri lazima alimpigia mkuu wa kituo au tuite OCD?

OCD alivyoongea dogo akajinyea. Huyo dogo atakuwa amepewa lindo mfululizo usiku kwa usiku lindo na wala sio doria. Siku saba au zaidi.

Yaani unaingia lindo mchana kazi kama kawaida na kwata.

Huwa wanaleta jeuri za kipuuz..


Mimi nishampiga mwanajeshi mkono mmoja aliruka.mita kumi, akakimbia.

Nadhani baadae walimwambia Kaa mbali na yule nigger
Mbavu zangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mjeshi kabisa?????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom