Jicholamwewe
JF-Expert Member
- Jan 2, 2021
- 374
- 473
Tupe asali hiyo.job imekuwa ngumu sana kupatikanaKwa kweli
Tupe asali hiyo.job imekuwa ngumu sana kupatikanaKwa kweli
Daah mie nipo nipo tu ...Unadill na issue Gani kwani
Fine
Inategemea kama issue zangu na zako zinaendana, Kwa kifupi Mimi ni technician wa fani Fulani hiv
Mimi pia ni technician mkuu.now nipo najitolea kiwanda Fran hvInategemea kama issue zangu na zako zinaendana, Kwa kifupi Mimi ni technician wa fani Fulani hivi
Mimi hata sijuani na mkubwa wao hapa ugenini ila nafkiri huyu tajiri yangu anafahamiana nao maana afande kijana alinywea hadi hurumaBaadhi yao wana tabia za kishenzi sana ila dawa yao ni simu moja tu kwa wakubwa zao wananywea sana
Mkuu humhumo yan kama ulikuwepo.mm pia ni technician wa maabara lkn Nina certificate .job zimekosekana now najitolea tuInategemea kama issue zangu na zako zinaendana, Kwa kifupi Mimi ni technician wa fani Fulani hivi
[emoji44][emoji44][emoji44]Unataka kubisha nini labda? Hao wanakula makofi wakiwa humo humo kituoni.. Wana Anga zao wenyewe wakiona (wingu jeusi) limetanda hawana cha kubisha ni kutekeleza oda tu.
Mhhhhhhhh!Daah mie nipo nipo tu ...
Mkubwa wa cheo yeyote yule si unajua wao ni mwendo wa kutii orders kutoka juu.Mimi hata sijuani na mkubwa wao hapa ugenini ila nafkiri huyu tajiri yangu anafahamiana nao maana afande kijana alinywea hadi huruma
Fani?Mimi pia ni technician mkuu.now nipo najitolea kiwanda Fran hv
Kwahio wewe ni kama boma liwanza unajivunia mzee wakoKwahiyo Uchawa ulikusaidia....
Hehehe.
Binafsi huwa sibishani nao hao jamaa natii sheria bila Shuruti nikifika Huko kituoni huwa nawapa angalizo tu.
Kuna siku walinisweka ndani nikakubali wakati wa kutoka nikapiga simu (Kwa Mutu ya Kazi) nikaongea nae huku nalia kinafkinafki na mambo mengine ya uongo nikaongezea. Dk 10 si nyingi wakaja (Wanaume).. Yaliyoendelea sijui ila na uhakika walikiona chamoto.
Nikarudi home (Mutu ya kazi) akaja kunipa pole mwanae wanamlaza kwenye kunguni kweli?!!
Laboratory assistant in general kasoro hospital. Lkn popote penye maabara kasoro hospital napiga misheFani?
Nipo Dsm mzee cna hili wala lile.. Mji mgumu huu...........Mhhhhhhhh!
Je ww hujivunii mzee wako..?!Kwahio wewe ni kama boma liwanza unajivunia mzee wako
Allah ampunguzie adhabu ya kaburiJe ww hujivunii mzee wako..?!
Aamiiiin... Pole sana mkuu.Allah ampunguzie adhabu ya kaburi
Angelikuepo ningejivunia zaidi si jambo baya
Halmashauri wanafanya kazi na polis ndani ya eneo husika, hao ni wale askari wadogo wanaocheza na mida na skendoz.Hata wewe ukinipa kazi yako wakati naifanya nitakutambua kama boss wangu
Hawajui vizuri huyoKuna mkubwa wa nchi jirani nimeskia leo anawasifia maafande wa bongo[emoji1787]