nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,034
- 900
Polisi majambazi vs polisi uhakika wenye welediLeo asubuhi kupitia Clouds Fm, nilisikia wakielezea habari ya Polisi Kibiti na Polisi Mkuranga walimiminiana kwa risasi kwenye kiwanda cha Mchina, mwenye taarifa kamili aniunganishe na hiyo taarifa...
Hawa mbwa waki kusimamisha kweny gari waki jua una pesa wana weza kukuua kabsaNimeona mahojiano na walioona tukio lile kusema kweli ni aibu mno kwa jeshi la polisi kwa mara nyingine!
Hawa ndio mapolisi tunaotarajia wawe walinzi wa mali zetu wanagombea fedha za rushwa hadi kataka kuuana!
Ndio maana uraiani wananchi hawapendi mazoea na mapolisi kwani ni hatari sana kwa mali zao!
Aibu sanaNimeona mahojiano na walioona tukio lile kusema kweli ni aibu mno kwa jeshi la polisi kwa mara nyingine!
Hawa ndio mapolisi tunaotarajia wawe walinzi wa mali zetu wanagombea fedha za rushwa hadi kataka kuuana!
Ndio maana uraiani wananchi hawapendi mazoea na mapolisi kwani ni hatari sana kwa mali zao!
Pumbavu wewe! Usiwaite watu mbwa. Bwege wee!Hawa mbwa waki kusimamisha kweny gari waki jua una pesa wana weza kukuua kabsa
Leo asubuhi kupitia Clouds Fm, nilisikia wakielezea habari ya Polisi Kibiti na Polisi Mkuranga walimiminiana kwa risasi kwenye kiwanda cha Mchina, mwenye taarifa kamili aniunganishe na hiyo taarifa...
Kama Wewe ni Polisi jua wewe ni Mbwa tu kama wale muwafugao au kukodiPumbavu wewe! Usiwaite watu mbwa. Bwege wee!
Polisi ndie anaekufanya unaishi kwa amani mkuu punguza chuki na makasiriko,Nimeona mahojiano na walioona tukio lile kusema kweli ni aibu mno kwa jeshi la polisi kwa mara nyingine!
Hawa ndio mapolisi tunaotarajia wawe walinzi wa mali zetu wanagombea fedha za rushwa hadi kataka kuuana!
Ndio maana uraiani wananchi hawapendi mazoea na mapolisi kwani ni hatari sana kwa mali zao!
Are you normal ?Pumbavu wewe! Usiwaite watu mbwa. Bwege wee!
Hungry Lion Never Sleep!!Duh kwa hiyo wenyewe kwa wenyewe au
Ova
Waziri Yupo, IGP Yupo, Hili Litakwenda Na Watu Aibu Gani HiiAibu sana
Ova
Aibu Gani Kwa Geshi La Ma~Police TanzaniaIshu kuna hela hua wanaenda kuokota hapo kiwandani kwa awamu sasa inaonyesha Polisi wa Kibiti njaa kali walienda siku si zamu yao ndio ikaleta balaa na wakienda wanachukua M2-5M ila hmna aliyekufa kwenye iyo ishu ni mambo ya "maokoto"