Polisi Katavi yamkamata Hamza kwa ujangiri

Polisi Katavi yamkamata Hamza kwa ujangiri

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,612
Kamanda wa polisi mkoa wa Katavi amesema jeshi lake limemkamata kijana aitwae Hamza Josia kwa makosa ya ujangili.

Hamza amekutwa na meno mawili ya tembo yenye uzito wa kilo 4

Source: Eatv habari
 
Meno tu kilo nne! Kuna vitu viliumbwa walahi..
 
Wazazi Hamsikii tu

Hamza.png
 
Kamanda wa polisi mkoa wa Katavi amesema jeshi lake limemkamata kijana aitwae Hamza Josia kwa makosa ya ujangili.

Hamza amekutwa na meno mawili ya tembo yenye uzito wa kilo 4

Source: Eatv habari
Popote ulipo Hamza jiandae.
 
Hamza wa siro
Hamza wa kasongo
Hamza wa kalala
Hamza wa katavi
 
kwa sisi waTZ tulivyokua ,sitashangaa watoto wengi watakaozaliwa kuanzia mwezi huu wakaitwa Hamza
 
Back
Top Bottom