Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,362
- 4,934
ungevizia namba yake kwenye guanda lake
ili tumuanike hapa jamvini.
mngemkoromea au hata kumpiga ngumi kama akizingua..
Hahaha! Na gongo ndiyo pombe yao kubwa..mmmh, pole ndo tulivyo maporishi, tena ukute kalewa gongo ndo utajibeba.
ungevizia namba yake kwenye guanda lake
ili tumuanike hapa jamvini.
huyo kakesha mabanda ya gongo night shift
wananifurahisha tu pale nilipoenda kureport tukio la wizi wakadai mpaka niwapelekee uthibitisho wa kuibiwa ndo wataandika report yangu. labda mnisaidie ndugu zangu utathibitisha vipi polisi kuwa umeibiwa?
we jamaa vipi wewe bana!!Nifikiri uamuzi nilio uchukua wa kuteremka garini ulikuwa wa busara zaidi, kuliko kumpiga.
Waswahili wanasema bora nusu shari kuliko shari kamili.
Biblia inasema, tafuteni kuwa na amani na watu wote.
Nikiwa naenda kazini kwa kutumia daladala, mara akapanda askari polisi, gari ilikuwa na nafasi kadhaa za kukaa, na miongoni mwa nafasi hizo ni nafasi iliyokuwepo jirani na nilipokaa.
Baada ya kituo kimoja tokea alipopandia, akatoa kipisi cha sigara kutoka kwenye mfuko wake wa shati, akakiwasha na kuanza kukivuta.
Abiria na wqahudumu wa daladala tulimsihi azime kwa kuwa anahatarisha afya zetu, akagoma na akawa akiporomosha matusi kwa sauti ya ulevi.
Nimekereka kwelikweli, na nimeamua kuteremka kwenye hilo gari kabla sijafika kule niendako.
Kweli Tanzania hamna polisi, ila yunifomu za polisi
asikali wa siku hizi hawavai namba.kwa sababu wanabebana. ndo maana siku hizi polisi wengi unakuta wana undugu, halafu usifikili wanaichukulia hiyo kazi kivilee.ndo maana siku hizi kukuta polisi kavaa mlegezo au kukaa baa na kunywa pombe na magwanda ni kitu cha kawaida sana. mia