Polisi kamata mwizi

Polisi kamata mwizi

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,582
Reaction score
3,272
polisi kamata mwizi.png

ukiwa mualifu hata uje kuchukuliwa na mmoja kati yao roho haiumii
 
Nina bange mfukoni naomba huyo wa pili toka mwisho aje anitie nguvuni!
 
....mimi nikiwaona nafanya uharifu mbele nyao ili nikamatwe...utamuuuuuu....
 
Inapunguza maumivu ya jela ama... ?
jela usipo enda ujananii utaenda uzeeni tu....chukulia ndo kina kuja minaitwa afande nora...nimekuja kukuchukua unaitajika polisi
 
kama nitafungwa naye gereza aje anikamate nina heroini hapa nilipo
 
Back
Top Bottom