nchii hii ni ya ajabu, yaani kijana kajipinda kasoma ili ajikombee yeye na jamii yake lakini hasaminiwi... huwezi amini vijana wanomaliza vyuo vikuu na kujiunga na jeshi la polisi wanaanza bila cheo hata mbavu moja... na pia majukumu yao ya kazi ni tofauti kabisa na fani wlizosomea... uwe muhasibu, dokta.. nk..
Utalinda kwa ocd, utazungushwa doria, na kazi zote za hovyo zinazoidharilisha elimu yako,,,, msomi aliye maliza chuo akajiunga na polisi hatamani kukutana na ndugu au rafiki akiwa na uniform coz ni aibu kazi anayofanya.... hailingani na elimu yake wala ujuzi wake... huku ni kutesa vijana waoipenda nchi yao na jeshi la polisi.... naipenda polisi, polisi naomba iliangalie hili
nchii hii ni ya ajabu, yaani kijana kajipinda kasoma ili ajikombee yeye na jamii yake lakini hasaminiwi... huwezi amini vijana wanomaliza vyuo vikuu na kujiunga na jeshi la polisi wanaanza bila cheo hata mbavu moja... na pia majukumu yao ya kazi ni tofauti kabisa na fani wlizosomea... uwe muhasibu, dokta.. nk.. utalinda kwa ocd, utazungushwa doria, na kazi zote za hovyo zinazoidharilisha elimu yako,,,, msomi aliye maliza chuo akajiunga na polisi hatamani kukutana na ndugu au rafiki akiwa na uniform coz ni aibu kazi anayofanya.... hailingani na elimu yake wala ujuzi wake... huku ni kutesa vijana waoipenda nchi yao na jeshi la polisi.... naipenda polisi, polisi naomba iliangalie hili
Kusamini maana yake nini? "kudhamini" au "kuthamini"nchii hii ni ya ajabu, yaani kijana kajipinda kasoma ili ajikombee yeye na jamii yake lakini hasaminiwi... huwezi amini vijana wanomaliza vyuo vikuu na kujiunga na jeshi la polisi wanaanza bila cheo hata mbavu moja... na pia majukumu yao ya kazi ni tofauti kabisa na fani wlizosomea... uwe muhasibu, dokta.. nk.. utalinda kwa ocd, utazungushwa doria, na kazi zote za hovyo zinazoidharilisha elimu yako,,,, msomi aliye maliza chuo akajiunga na polisi hatamani kukutana na ndugu au rafiki akiwa na uniform coz ni aibu kazi anayofanya.... hailingani na elimu yake wala ujuzi wake... huku ni kutesa vijana waoipenda nchi yao na jeshi la polisi.... naipenda polisi, polisi naomba iliangalie hili
Kusamini maana yake nini? "kudhamini" au "kuthamini"
We unaonekana ni polisi uliyeenda chuoni kwa matarajio kwamba ukirudi kazini utakuwa umeshaula. Umejidanganya kwasababu utaratibu ni tofauti sana, unatakiwa ufanye kazi za kulinda mpaka ipite miaka mitatu ndiyo ufikiriwe kupandishwa cheo. Chapa kazi bwana mdogo wenzako tumesota sana mpaka tumefika hapa tulipo.
nchii hii ni ya ajabu, yaani kijana kajipinda kasoma ili ajikombee yeye na jamii yake lakini hasaminiwi... huwezi amini vijana wanomaliza vyuo vikuu na kujiunga na jeshi la polisi wanaanza bila cheo hata mbavu moja... na pia majukumu yao ya kazi ni tofauti kabisa na fani wlizosomea... uwe muhasibu, dokta.. nk.. utalinda kwa ocd, utazungushwa doria, na kazi zote za hovyo zinazoidharilisha elimu yako,,,, msomi aliye maliza chuo akajiunga na polisi hatamani kukutana na ndugu au rafiki akiwa na uniform coz ni aibu kazi anayofanya.... hailingani na elimu yake wala ujuzi wake... huku ni kutesa vijana waoipenda nchi yao na jeshi la polisi.... naipenda polisi, polisi naomba iliangalie hili
Samani maana yake ni furniture.
Ulitakiwa useme Thaminiwa.
<b><font color="#ff0000">Samani maana yake ni furniture</font></b><font color="#0000ff">.
Ulitakiwa useme Thaminiwa.
</font>
hahahaaaaa,hapa pana raha sana
mgawanyo wa kazi huo!Kwani kazi nyingine hakuna????wewe umemaliza chuo una shahada unakimbilia UPOLISI,DAH