Hunteroflove
Senior Member
- Sep 18, 2014
- 126
- 93
Kwa ffu huyo atajulikana tuAmegongwa na asiyejulikana
Mm mwenyewe nimeshaangaa nabaki kuwaza tuHow comes Boda boda wanaifukuzia gari barabara hiyo ya Ukonga ilivo na foleni wanaikosa... Ndo kusema saa Tatu usiku njia ilikua nyeupe peeee
Nilijua wengi kumbe mmoja
Ukishajua itakusaidia nini wewe?Alikuwa anatoka wapi ? Anaenda wapi ?
Niijuavyo ukonga na muda huo foleni ilikuwepo japo c kubwa sana ila c kirahisi hivyo waikose kuikamata hiyo gari sema wamepewa chochote kitu wakamuacha jamaa kasepa.How comes Boda boda wanaifukuzia gari barabara hiyo ya Ukonga ilivo na foleni wanaikosa... Ndo kusema saa Tatu usiku njia ilikua nyeupe peeee
Ffu alikwenda tembelea mkwe wakeMaeneo ya Wakurya huko Wewe ulifuata nini?
Wigo unazidi kupanukaAmegongwa na asiyejulikana