Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,751
- 34,054
Last edited by a moderator:
Wafike na coco beach, kuna maafande feki ndani ya uniform, juzi walimkamata afisa wa ubalozi, huyo offisa aka report kwa Mwema , ukafanyika msako mkubwa kuna walio kamatwa , lakini baada ya muda wamesha rudi tena wako kila sehemu hao police feki waki kamata watu na kuwatoa pesa.
Pole sana kwa yaliyokukuta huko Cocoa Beach kwa hao Mapolisi fake wanaotamba huko Cocoa BeachKaka hii ya Cocoa Beach inabidi waivalie Njuga kisawasawa aisee!! I have Been a Victim Here!!
Kaka hii ya Cocoa Beach inabidi waivalie Njuga kisawasawa aisee!! I have Been a Victim Here!!
maisha bwana.....
maisha yanaweza kumfanya mtu afaye kitu ambacho hajawahi
tegemea kufanya katika maisha yake yote kwa kweli....
Jamaa umeongea point sana hapo.
Maisha sometimes yanapokuwa magumu sana, mtu anabuni mbinu yeyote ya kunweka mjini bila kujali risk yake huko mbele.
Mkuu tupe detail zao wanataka nini?? ama wanakuja na staili gani