Polisi feki adakwa Dar

Wafike na coco beach, kuna maafande feki ndani ya uniform, juzi walimkamata afisa wa ubalozi, huyo offisa aka report kwa Mwema , ukafanyika msako mkubwa kuna walio kamatwa , lakini baada ya muda wamesha rudi tena wako kila sehemu hao police feki waki kamata watu na kuwatoa pesa.
 
Kaka hii ya Cocoa Beach inabidi waivalie Njuga kisawasawa aisee!! I have Been a Victim Here!!
 
maisha bwana.....
maisha yanaweza kumfanya mtu afaye kitu ambacho hajawahi
tegemea kufanya katika maisha yake yote kwa kweli....
 
maisha bwana.....
maisha yanaweza kumfanya mtu afaye kitu ambacho hajawahi
tegemea kufanya katika maisha yake yote kwa kweli....

Jamaa umeongea point sana hapo.
Maisha sometimes yanapokuwa magumu sana, mtu anabuni mbinu yeyote ya kunweka mjini bila kujali risk yake huko mbele.
 
Jamaa umeongea point sana hapo.
Maisha sometimes yanapokuwa magumu sana, mtu anabuni mbinu yeyote ya kunweka mjini bila kujali risk yake huko mbele.

sasa kitu kibaya zaidi ni pale mtu kahangaika juu chini mapaka kamaliza elimu yake
lakini haukuna ajira ......
ndo hapo mtu anafanya analotakiwa kufanya kuweka kitu tumboni.....
maana haya matumbo yangekuwa mgongo nisingefanya kazi..lol
 
Pole Mlakavu

Mkuu tupe detail zao wanataka nini?? ama wanakuja na staili gani

Nipale unapo jumuika wewe na mpenzi wako ,mna weza kua mmekaa tuu au hata mko kwnye mambo ya kupapasana kimahaba, hapo huvamiwa na kundi la askari kudai mnafanya ngono hadharani, ukibisha wanakubambikiwa bangi ili utoe pesa. wankuanzia kwa dau la laki tatu .
 
Back
Top Bottom