Polisi Dar tusaidieni kuondoa wimbi la wezi mitaani kwetu, wananchi tunaumia

LadyAJ

JF-Expert Member
Oct 21, 2015
7,173
9,631
Hali si shwari mitaani sasa, tena inakua kwa kasi tabia hii ya wizi katika mitaa mbali mbali naomba nizungumzie zaidi mtaa wangu wa Kisewe-Chamazi.

Watu tumekuwa hatulali mchana wala usiku maana muda wowote vijana hawa wapo huru kuvamia nyumba za watu na kufanya uharibifu, cha kushangaza Polisi Mbande habari zetu wanazo na si wao wala Mwenyekiti wa mtaa aliyepita bila kupingwa hakuna anaye chukua hatua,wananchi tupo tayari kulipia hata Sungu Sungu sijajua wana sita sita nini kuchukua hatua.

Ninaomba Kamanda wa Polisi mkoa wa Temeke asikie hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule diwani mwenye tumbo kubwa si rafiki wa bashite,kashindwa kuwasaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali si shwari mitaani sasa, tena inakua kwa kasi tabia hii ya wizi katika mitaa mbali mbali naomba nizungumzie zaidi mtaa wangu wa Kisewe-Chamazi.

Watu tumekuwa hatulali mchana wala usiku maana muda wowote vijana hawa wapo huru kuvamia nyumba za watu na kufanya uharibifu, cha kushangaza Polisi Mbande habari zetu wanazo na si wao wala Mwenyekiti wa mtaa aliyepita bila kupingwa hakuna anaye chukua hatua,wananchi tupo tayari kulipia hata Sungu Sungu sijajua wana sita sita nini kuchukua hatua.

Ninaomba Kamanda wa Polisi mkoa wa Temeke asikie hili.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ah wapi! Wewe utakuwa unatumiwa na mabeberu tu. Yaani Tanzania hii hii ya Magufuli iwe na wezi na vibaka na polisi wanaotakiwa kukumbushwa wajibu wao?
 
Ili jamaa waje na kufanya doria usiku na mchana, watumieni ujumbe kuwa CHADEMA wanafanya mikutano ya nyumba kwa nyumba kwenye mitaa yenu. Watamiminika wa kutosha sana!
 
Back
Top Bottom