LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,631
Hali si shwari mitaani sasa, tena inakua kwa kasi tabia hii ya wizi katika mitaa mbali mbali naomba nizungumzie zaidi mtaa wangu wa Kisewe-Chamazi.
Watu tumekuwa hatulali mchana wala usiku maana muda wowote vijana hawa wapo huru kuvamia nyumba za watu na kufanya uharibifu, cha kushangaza Polisi Mbande habari zetu wanazo na si wao wala Mwenyekiti wa mtaa aliyepita bila kupingwa hakuna anaye chukua hatua,wananchi tupo tayari kulipia hata Sungu Sungu sijajua wana sita sita nini kuchukua hatua.
Ninaomba Kamanda wa Polisi mkoa wa Temeke asikie hili.
Sent using Jamii Forums mobile app