Siasa za kijiweni zikoje?Chadema wafuate sheria waache siasa za vijiweni!
Sheria zipi? CCM kila kukicha wanafanya mikutano lakini Vyama vya Upinzani mnavizuia haki ipo wapi?Chadema wafuate sheria waache siasa za vijiweni!
vurugu na kupora watuSiasa za kijiweni zikoje?
CHADEMA na Polisi nani wakufuata sheria na Katiba- Lijualikali leo yuko na wananchi wake kule kwanini wawe wa CHADEMA au wa upinzani kwa ujumla? Time will tellChadema wafuate sheria waache siasa za vijiweni!
Mleta hii habari lijinga na huna akili kabisa, unaleta uongo mtupu
Wanaojua sheria ni Ccm tuChadema wafuate sheria waache siasa za vijiweni!
Zikikaa sawa mnyooshaji ananyooshwa.Wacha tunyooshwe mpaka akili zikae sawa.
Safari hii wamepania kweli,hata wavuta bange wanaweza wavalisha gwandaWalipomuua akwilina walipandishwa vyeo, SAS hivi wanataka kuua tena
Sema ukweli wa habari hii..siyo unaishia kusema ni uwongo pasi na kuonesha ukweli wakeMleta hii habari lijinga na huna akili kabisa, unaleta uongo mtupu
Hilo jamaa baada ya kuona corona haijafanya kile lilichokuwa linaombea basi limebaki kama toto lililokosa malezi. Ni moja ya majitu niliyoyapuuza humu jfMleta hii habari lijinga na huna akili kabisa, unaleta uongo mtupu