Polisi, CHADEMA sasa wafika pabaya. CHADEMA waanza kuwindwa kama wahalifu (Video)

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,874
Inaonekana ukiwa mwana CHADEME kwa sasa ni zaidi ya gaidi. Hapa wana CHAEMA walikuwa wanaenda kumlaki Mbunge wao anayerejea kuja kutoa shukrani za uaminifu kwao sasa inaonekana wezuiwa.

Swali, mbona kwa CCM haya ni ya kawaida? Hivi ni moja ya vitu vinavyomfanya Rais Magufuli kuonekana kuendesha utawala katili dhidi ya wale wanaomkosoa na kupinga mwenendo wake wa kiuongozi.

Magari yanakaguliwa na askari wenye silaha na inaonekana anayesakwa ni aliyevalia sare ya CHADEMA. Hatutafika salama kwa hali hii.

 
juzi juma3 ma CCM yameandamana na kufanya kampeni kimtindo karibia mikoa yoote kwa kisingizio cha kumtafutia wadhamani mgombea wao wa uraisi na hakuna aliye wabugudhi wala kuwasimamisha mabarabarani
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom