Polisi bhana nao wanasoma barua za wafungwa!!!!..

Niligombana na wife baada ya kwenda fiesta peke yangu tukawa tumechuniana ila baada ya kuingia hapa nimecheka mpaka ameniuliza unacheka nn?.. hongera mkuu umenirudishia amani ndani kwangu.
mkuu kwa nn uende peke yako sasa
 
Mzee mmoja alimtumia mjukuu
wake aliyefungwa gerezani barua:-
Mjukuu wangu mpendwa nina
huzuni sana mwaka huu sitoweza
kulima viazi kwenye shamba kwa
sababu wewe uko gerezani na sina
uwezo wa kulima shamba lote peke
yangu.
Mjukuu alipopata barua akajibu:-
Babu usijaribu hata kidogo kulima
hilo shamba...zile pesa zote nilizoiba
nilizificha kwenye hilo shamba.
Mapolisi wa gereza walipoona ile
barua kesho yake wakaenda kwenye
shamba la mzee wakalilima lote
wakitafuta pesa.
Baada ya wiki mjukuu akamuandikia
babu yake barua nyingine:-
Unaweza kupanda viazi vyako sasa
babu...waona bado naeza kukusaidia
hata nikiwa huku ndani!!
kama dogo ni giniaz kiasi hicho, alizidiwaje ujanja mpaka akafungwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom