RIP. Ninalaani kwa nguvu zote mauji ya mtu asiye na hatia awe polisi, mtuhumiwa wa ujambazi, raia anayeandamana kwa amani. Kamwe watanzania tusianze kushabikia vifo vya raia wasio na hatia. Nina hakika kuwa polisi ni ndugu zetu, kama huna ndugu polisi basi utakuwa na jamaa au jirani mwenye ndugu polisi. Kamwe tuache mkondo wa sheria uchukue njia yake. Tusishabikie mauaji maana huwezi jua kuwa next target will be you, hizi chuki zinazoanza kujengeka miongoni hatuna budi kuziacha na kuwa wachamungu sana. Ila pia huu ni wakati wa vyombo vya usalama kuhakikisha tu haviwafurahishi watawala pekee bali pia wanajenga imani ya wananchi juu yao. Tumeona ya Egypt jinsi jeshi lilivyopata heshima kubwa toka kwa waandamani kisa tu hawakutumia vibaya nguvu za virafu vyao. KATIBA MPYA SULUHISHO LA KUJENGA AMANI YA KUDUMU TANZANIA.
A-a-ahaa! Hapa mkuu ndio unazidi kuharibu baada ya kutengeneza sasa hu G Lema anaingije kwenye tukio hili?.watu wengine wa ajabu kweli
Jana analamu alqaeda kujilipua au kuua watu ovyo leo anasema safi polisi kauwawa bila hata kupata details kamili .
Let us be consistent. Kitendo hiki kinatakiwa kukemewa. Naamin hata G lema akiongea bungeni atakemea.
watu wengine wa ajabu kweli
Jana analamu alqaeda kujilipua au kuua watu ovyo leo anasema safi polisi kauwawa bila hata kupata details kamili .
Let us be consistent. Kitendo hiki kinatakiwa kukemewa. Naamin hata G lema akiongea bungeni atakemea.
Mkuu sijui kama unaweza kunishawishi kuona polisi amekufa niwe na huzuni hasa ninapoiangalia picha hii
Mkuu masika , hii inakubaliana na Le Châtelier's principle , sikujua kama application yake inaweza kuwa extended mpaka kwenye siasa za sisiem .When a system in equilibrium is subjected to a change,the system will also try to change so as to halt the effect of that changes until stability is re-attained.Tazama Iraq,Afghanistan etc
siamini mtu unafurahia binadamu mwingine kutoa roho ya mtu
Safi sana, 2nao hao sahani moja.
Nyie kina nani.......?
Wacha porojo wewe. Snippers wameshajipanga hapa kazi ndo kwanza imeanza kwa interval utakayoiona na kuisikia. Hakuna cha ujambazi hapa ni kwamba mauaji ya raia Arusha mpaka sasa watu wengi wana maumivu na polisi kuna uwezekano wakahama Arusha kwa jinsi hali itakavyowawia ngumu. Watawindwa kama Swala hadi wawe na adabu kwani wote walihusika kuua kama si kupiga ni kuelekeza na kupanga
Wana JF polisi mmoja akiwa katika uniform amepigwa risasi hadi kufa maeneo ya Arusha chini ya mti karibu na stand ya magari ya kwenda Kisongo, Kwamrombo.
Ilikuja gari aina ya RA4 ikiwa imewasha taa kisha baadhi ya magari yakapisha wakijua labda ilikuwa na dharura, lakini walipofika alipokuwa askari huyo alipokaa basi alishuka jamaa mmoja na kumpiga risasi kwa bastola kisha kuingia ndani ya gari na kutokomea kusikojulikana.
Hadi napost thread hakuna habari za kukamatwa kwa jamaa hao ambao haikujulikana walikuwa majambazi au walikuwa na visasi nae marehemu.
Itabidi uisaidie polisi mkuu................... lol
ni kweli lakini furaha yangu iko pale pale, Awe amepaliwa na mfupa akafa awe amepigwa risasi kafa kwa uzinzi imradi polisi...kwangu mimi naona safi tu.