Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,358
- Thread starter
-
- #61
Alikuwa ni PC, yaani hakuwa na cheo chochote.Haijalishi ana hatia au hana... haijalishi ana cheo kidogo au la, haijalishi chochote, as long as ni polisi, he derseve wt he gt.
ndo hivyo mkuu cdm wasiiingizwe tusiendelee kutoa majibu mepesi kwenye maswali magumu!a,a,a! Ebwana we!
Najua mkuu polisi walifanya mabaya mengi saana arusha ikiwa pamoja na kuchakachua tukio zima but kifo mkuu kinasikitisha saana!ni kweli lakini furaha yangu iko pale pale, Awe amepaliwa na mfupa akafa awe amepigwa risasi kafa kwa uzinzi imradi polisi...kwangu mimi naona safi tu.
kwani mauaji haya yana uhusiano wa ccm na chadema?Kuna mtu ameleta hija ya kuwa dawa ya polisi wakiwaua wenye kuandamana basi na watu wakawaue ndugu zao mitaani! Nadhani hii haijakaa sawa maana polisi anaweza akawa anashabikia chama tawala lakini ndugu zake ni cdm kindakindaki!
Na hivi wewe kama una jamaa yako polisi upotayari ufanyie kitu sawa kama huyo hayawani anaeleta hoja! Nadhani hatujafikia huko na Mungu aepushe tusijekufikia huko Amin.
RIP...
tupinge mauaji ya aina yoyote yale,yawe polisi au raia wa kawaida.....kwa sababu ni ishara ya kuvurugika kwa amani.
mhh! kuonyesha ni kitu kingine pia inaweza kuchukuliwa kivingine! kwamba wanalipiza!sijui watatuonyesha mkanda wa tukio hilo kwenye channel zote za bongo?
sipo pamoja na wewe hivo ni kauli za unyanyapaaaa mkuu!Watu wameichoka amani, kuna wengine wanatamani amani ipotee wafe kwa risasikwakuwa wameathirika wanaogopa kufa na miwaya.............
kwani mauaji haya yana uhusiano wa ccm na chadema?
Nilisema kuwa watu wataleta siasa kwenye hili unaona????kwani mauaji haya yana uhusiano wa ccm na chadema?
ni kweli lakini furaha yangu iko pale pale, Awe amepaliwa na mfupa akafa awe amepigwa risasi kafa kwa uzinzi imradi polisi...kwangu mimi naona safi tu.
sipo pamoja na wewe hivo ni kauli za unyanyapaaaa mkuu!
mkuu unatetea nini usiiingize ccm na uchadema hapa!Ukisoma comments moja baada ya n yingine utagundua tu wala hutakuwa na haja ya kuangalia kwa tochi.
You can read btn the lines bro................
poa mkuu usijali!Utanisamehe mkuu ila sijui ningetumia neno gani................ I am sorry ngona niitoe hiyo post.
halafu nashangaa hatujafika huku bado,sijui kwa nini wanalazimisha.Kuna mtu ameleta hija ya kuwa dawa ya polisi wakiwaua wenye kuandamana basi na watu wakawaue ndugu zao mitaani! Nadhani hii haijakaa sawa maana polisi anaweza akawa anashabikia chama tawala lakini ndugu zake ni cdm kindakindaki!
Na hivi wewe kama una jamaa yako polisi upotayari ufanyie kitu sawa kama huyo hayawani anaeleta hoja! Nadhani hatujafikia huko na Mungu aepushe tusijekufikia huko Amin.
Mkuu sijui kama unaweza kunishawishi kuona polisi amekufa niwe na huzuni hasa ninapoiangalia picha hiiNajua mkuu polisi walifanya mabaya mengi saana arusha ikiwa pamoja na kuchakachua tukio zima but kifo mkuu kinasikitisha saana!
Msiongee tu hilo suala halijafafanuliwa kwamba kapigwa kwa kisasi au ni majambazi mie huwa siwezi kucomment kitu nisichokifahamu unaweza kuamka kesho ukakuta ni ishu tofauti embu subirini kamanda wa polisi au sehemu husika walielezee tukio hilo limetokeaje!!!sio vizuri kuanza tu kusifia wakati hujui cause ya tatizo ni nini si ajabu huyo askari hakuwa na kosa kabisa!yawezekana ameonewa!tusubiri taarifa za magazetini na redioni ila mtoa taarifa tunakushukutu sana kwa informations!
Nilisema kuwa watu wataleta siasa kwenye hili unaona????
Naomba unielewe mkuu, yaani mimi sijali polisi kapigwa au kafa kwa goma kwangu mimi poa tu imradi polisi kafawatu wengine wa ajabu kweli
Jana analamu alqaeda kujilipua au kuua watu ovyo leo anasema safi polisi kauwawa bila hata kupata details kamili .
Let us be consistent. Kitendo hiki kinatakiwa kukemewa. Naamin hata G lema akiongea bungeni atakemea.