Polisi akipokea rushwa live

Polisi akipokea rushwa live

Njia pekee kukabiliana na hawa Wahuni in uniform ni kutomiliki Gari.
 
Hata kama huna kosa wakishang'amua kuwa umekosa, na ameshachukua leseni yako bora mmalizane. Mfano sheria ya zebra crossing, hakuna mahali inasema usimame na kuwasha double hazard hata kama hakuna mtu anayetaka kuvuka. Lakini wamesimamia hapo, na wanakusanya 10k kila siku. So lipi bora? Utoe 30k au 10k ulale mbele 🙂😛😵
Kama wwanatenda visivyo kasimamie mahakamani. Na huo ujinga utaisha.
 
Hivi nawakwepaje askar wa bagamoyo road mie leo kwa video hii,..maana hzi tochi zilianza pungua njia yetu hii sasa Huyu Kaliamsha dude.
 
Kama wwanatenda visivyo kasimamie mahakamani. Na huo ujinga utaisha.
Uache kufanya kazi ukasimame mahakamani kwa issue kama hiyo? Si utakua unaenda mahakamani kila siku? Na kutafuta ugomvi na Polisi wa eneo lako bila sababu.
 
Kiukweli zile buku 5 huwa ni kusaidiana tuu maana wakisema kila kosa wawe wanachukua 30, nahis mshahara wote utaishia road.. Maana hata Zebra sasa hivi wameanza komaa nayo.

Kuna askari anakaga pale Magomeni karibu na kituo cha Mabasi ya Mwendokasi (Dar), ukikanyaga Zebra unaye.

Sasa na mitochi hii ya Bagamoyo road leo si wataua watu leo?! Daah, aliyerekodi...
 
hii kitu ikiisha Tanzania ujue sisi wananchi wa hali ya chini tutataseka sana acha tu tupeane mlungula ndo sehemu ya maisha yetu. NB; hakuna asiyetoa wala kupokea hiyo kitu Tanzania nzima.
 
Huyu aliye chukua hii video na alaaniwe. Mana sasa mtafanya tupigwe veti kwa fujo.
Imagine hapo kachukua la 5, sasa sibora kuliko kuumia na msimbaz wa3.
 
Kiukwel zile buk5 hua ni kusaidiana tuu maana wakisema kila kosa wawe wanachkua 30,nahis mshahara wote utaishia road..maana hata zebra sasa hiv wameanza komaa nayo,
Kuna askar anakaga pale magomen karib na kituo cha mwendokas,ukikanyaga zebra unae,
Sasa na mi tochi hii ya bagamoyo road leo si wataua watu leo..daah,alierekod msen*ge kwel.
Huyo jamaa ata mimi nimeuona ni mmakunduchi kweli kweli, kwani ukimpa hela askari kuna shida gani?
 
Nchi rushwa itaendelea kuwepo mpaka siku ya kiama

Ova
 
Uache kufanya kazi ukasimame mahakamani kwa issue kama hiyo? Si utakua unaenda mahakamani kila siku? Na kutafuta ugomvi na Polisi wa eneo lako bila sababu.
Halafu pia unajua kama kesi za trafic mahakamani nyingi zinatakiwa zishughulikiwe siku hiyohiyo kama muda wa mahakama haujaisha?
 
nimesikitika sana kwa kitendo alichofanya yule namwita punga, ni jambo la kawaida kabisa na linaboresha uhusiano mzuri kati ya jeshi letu na raia tunaomiliki vyombo vya moto barabarani
 
Back
Top Bottom