Polisi ajitambulisha yeye ni MTANGANYIKA

mnijuze wakuu.hivi hakuna njia mbadala ya kutuma maoni katika mtandao kama hii tume ya kukusanya maoni wanayo,inaitweje tovuti?na kama kweli wanapokea na kuyaingiza katika mchakato?
mana kwakweli muda uliowekwa kutoa maoni unatubagua tulio wengi wenye shughuli,muda wa saa 3-8 mchana au 8-11 jioni?kwanini lakini?jumapili ni siku ya kuabudu na muda unaowekwa tunakua ibada ya pili
 
wapo wengi jeshiwenye mawazo kama hayo tatizo jeshi la utii zaidi linawabana big up man
 
Back
Top Bottom