Polisi aachwa hoi

Polisi aachwa hoi

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,760
Mwanadada mmoja alikuwa anatembea na blauzi yake ipo wazi, Polis mmoja ambae alikuwa katika patiroo huku akitembea ,kwa mbali aliomuona ,ila alimwambia mwenzake ,naona kama siamini macho yangu ,aisee ona yule mrembo kuleeeeee ! naona kama titi lake la kulia lipo nje linaning'inia.

Walipomkaribia ilionekana wazi kuwa titi moja lipo nje !! Alipomkaribia uso kwa uso akamuuliza mdada ,daadaeei unajua naweza kukupa na kukuandikia kosa kwa kutembea bila ya tahadhari hapa ni mjini ? Yule mdada kwa kushangaa akauliza kwani nimefanyaje afandee? Polisi akamuambia hivi huoni kama hilo titi lako lipo nje ?
Yule mdada akainamisha kichwa kutazama ,kujiona titi lipo nje ,akamakah na kusema mtumee nimemsahau mwanangu kwenye daladala :becky:
 
Mwiba achana na titi. Habari mpya ni kuwa kule Dodoma mechi ya leo imeisha na matokeo ni UKAWA 3-C..aka Mafiasi 1(penalt) hebu nisaidie kuwauliza wale wapiga porojo imekuwaje?
 
Last edited by a moderator:

Ha ha haaaa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom