Police wetu wazawadiwa

Police wetu wazawadiwa

Wamefanya kazi kubwa hadi walikua wanawakaribia wahalifu ndio wakaamua kumuachia. Vyema kuwapongeza...
halafu hao wahalifu "wakatereza na kuterezea kusiko julikana" na mahali pao hapakuonekana tena aisee
 
Walikuwepo nao tangu usiku wa manane..

Mlitaka huko kwa Mo waanse kupikiwa chai sijui nini

Bora kawatoa kuliko kuwaacha na njaa..
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23]ila wahalifu wakafanikiwa kumrudisha na kuondoka salama bila kukamatwa
 
Hiyo ya Lumumba ndio ilikuwa ya kwanza na kabla ya hapo kalikuwa kamgahawa kadogo kalikuwa kanaitwa Nairobi Tea room. Baadae ikaja chef's pride na wakaanzisha nyingine hiyo ya mtaa wa Simba hivyo zikawa chefs mbili lakini baadae ya Lumumba naona wakaifunga
Capitamo, upo vizuri kiongozi. Asante kwa taarifa.
 
Mashamba yetu ndo basi tena, yashaenda kimoja, Muhindi ana higher IQ klk sisi negros, na tutaendelea kuwa Watumwa hadi kiama.

TZ yetu kuna Wahindi < 200 000 tu lkn wanamiliki > 85% ya Uchumi!

Haya niggers imbeni kwa pamoja kwa sauti tena na tena ,,bring back our Mo, bring back our Mo, bring back our Mo, ... “
Naanza kukuelewa
 
Nazani utapata angalau kumbukumbu hapo.View attachment 905519
Exit, kwenye ramani umenikumbusha lodge inayoitwa safari inn. Hii ilikuwa inajaa wazungu mwanzo mwisho. Ni budget lodge kwa wenzetu na ilikuwa na usalama wa kutosha.

Wazungu wengi wanafunzi wanafunzi na hata watalii ambao wanaenda kwa budget kali walikuwa wanafikia hapo. Sijui kama mpaka leo wanafikia hapo.
 
Wajiandae kuzitapika kwa njia yeyote ile
 
Mashamba yetu ndo basi tena, yashaenda kimoja, Muhindi ana higher IQ klk sisi negros, na tutaendelea kuwa Watumwa hadi kiama.

TZ yetu kuna Wahindi < 200 000 tu lkn wanamiliki > 85% ya Uchumi!

Haya niggers imbeni kwa pamoja kwa sauti tena na tena ,,bring back our Mo, bring back our Mo, bring back our Mo, ... “
Hovyooooo!
 
Ni kawaida sana kwa mTanzania kujidharau/kudharau wa kwake na kusifia raia mwenye asili ya kigeni au kusifia nchi zingine.so kwa wewe siwezi kukushangaa maana ni mTanzania,wale wanaojifanyaga wanajua na wanapoongea utasikia wakichanganya kiswahili na kingereza wakidhani wataonekana kua wanajua sana.kusema muhindi ana IQ kuliko sisi ni wewe peke yako
 
Mashamba yetu ndo basi tena, yashaenda kimoja, Muhindi ana higher IQ klk sisi negros, na tutaendelea kuwa Watumwa hadi kiama.

TZ yetu kuna Wahindi < 200 000 tu lkn wanamiliki > 85% ya Uchumi!

Haya niggers imbeni kwa pamoja kwa sauti tena na tena ,,bring back our Mo, bring back our Mo, bring back our Mo, ... “
Punguza chuki

Ova
 
Back
Top Bottom