From Sir With Love
JF-Expert Member
- Sep 13, 2010
- 2,072
- 3,827
Kasie, upo karibu na duka la spea za magari la huyo dewji hapo pichani. Wana biriani ya kupoteza njaa balaa.Hivi huo mgahawa wa Chefs Pride uko sehemu gani? Ati kila nikivuta kumbukumbu sikumbuki ulipo ila jina si geni kwangu.
Sijui kuelekeza lakini ukiwa stand ya zamani ya kisutu, vuka barabara palipo na stendi ya mwendokasi na utaona sheli ya oryx. Upande huo huo wa sheli kuna mtaa una mafundi wengi wa magari. Ulizia hapo hapo mwanzoni. Ni kamtaa kafinyu, nadhani kanaitwa chaga street.