Aibu naona amimi. Kwani kuna aliyekukataza na wewe kumiliki uchumi?Mashamba yetu ndo basi tena, yashaenda kimoja, Muhindi ana higher IQ klk sisi negros, na tutaendelea kuwa Watumwa hadi kiama.
TZ yetu kuna Wahindi < 200 000 tu lkn wanamiliki > 85% ya Uchumi!
Haya niggers imbeni kwa pamoja kwa sauti tena na tena ,,bring back our Mo, bring back our Mo, bring back our Mo, ... “
Kasie, upo karibu na duka la spea za magari la huyo dewji hapo pichani. Wana biriani ya kupoteza njaa balaa.
Sijui kuelekeza lakini ukiwa stand ya zamani ya kisutu, vuka barabara palipo na stendi ya mwendokasi na utaona sheli ya oryx. Upande huo huo wa sheli kuna mtaa una mafundi wengi wa magari. Ulizia hapo hapo mwanzoni. Ni kamtaa kafinyu, nadhani kanaitwa chaga street.
Tembea na Mtaa wa Jamhuri ukielekea linakozamia jua yaani West, Ukiipita Mororgoro road enedelea tu na Jamhuri ukikuta njia ya kwanza kulia ingia na njia hiyo hatua kama hamsini hivi utauona mgahawa huo.
Safi Sana. Nakumbuka walikuwa na branch pale Lumumba. Sijui kwanini walipafunga.Asantii, nimeshapapata. Kuna mchunga mmoja alinipeleka hapo kula chapati na samaki. ...... it was yummy [emoji39] .
Si popote zaidi ya mjini
Safi Sana. Nakumbuka walikuwa na branch pale Lumumba. Sijui kwanini walipafunga.
[emoji3] [emoji3]Ooh sikufahamu kama Lumumba walikuwa na branch.... ni kijiwe cha habari moto moto za mjini. Maalwatan wengi wa mjini na mission town hapo ndo meeting point yao. Kuna kipindi ilikuwa kama hujaanza booking ya meza hupati mahali pa kukaa kunakuwa kumejaa ova.
Chagga Street Off.Jamhuri Street opp. KT SHOP.
Wamefanya kazi kubwa hadi walikua wanawakaribia wahalifu ndio wakaamua kumuachia. Vyema kuwapongeza...Maigizo zaidi ya Yale ya kaole group [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji108][emoji108]
Kumbe huna uzalendo zaidi ya uhuni tu.....Mashamba yetu ndo basi tena, yashaenda kimoja, Muhindi ana higher IQ klk sisi negros, na tutaendelea kuwa Watumwa hadi kiama.
TZ yetu kuna Wahindi < 200 000 tu lkn wanamiliki > 85% ya Uchumi!
Haya niggers imbeni kwa pamoja kwa sauti tena na tena ,,bring back our Mo, bring back our Mo, bring back our Mo, ... “
Jamaa waliogopa kabala hajaongea ,wakamrudisha ...maana ile moja tu adi jamaa alikuja na pichaHivi Lema kasemaje kwenye press yake aliyosema ataifanya leo
Wahindi wana biashara zao karibu kila nchi duniani.Mashamba yetu ndo basi tena, yashaenda kimoja, Muhindi ana higher IQ klk sisi negros, na tutaendelea kuwa Watumwa hadi kiama.
TZ yetu kuna Wahindi < 200 000 tu lkn wanamiliki > 85% ya Uchumi!
Haya niggers imbeni kwa pamoja kwa sauti tena na tena ,,bring back our Mo, bring back our Mo, bring back our Mo, ... “
Acha ubaguzi dogo,hao ni watanzania wenzetu,Mashamba yetu ndo basi tena, yashaenda kimoja, Muhindi ana higher IQ klk sisi negros, na tutaendelea kuwa Watumwa hadi kiama.
TZ yetu kuna Wahindi < 200 000 tu lkn wanamiliki > 85% ya Uchumi!
Haya nigers imbeni kwa pamoja kwa sauti tena na tena ,,bring back our Mo, bring back our Mo, bring back our Mo, ... “
HayaWamefanya kazi kubwa hadi walikua wanawakaribia wahalifu ndio wakaamua kumuachia. Vyema kuwapongeza...
Mie ndo nimefurahi na kushukuru kama inatokea nasababisha binadamu mmoja akatabasamu. Haya kwangu ndo naona mafanikioAsante sana kwa kunirejeshea kumbukumbu nimepakumbuka sasa.
Cheers.
Hiyo ya Lumumba ndio ilikuwa ya kwanza na kabla ya hapo kalikuwa kamgahawa kadogo kalikuwa kanaitwa Nairobi Tea room. Baadae ikaja chef's pride na wakaanzisha nyingine hiyo ya mtaa wa Simba hivyo zikawa chefs mbili lakini baadae ya Lumumba naona wakaifungaSafi Sana. Nakumbuka walikuwa na branch pale Lumumba. Sijui kwanini walipafunga.
Nazani utapata angalau kumbukumbu hapo.Hivi huo mgahawa wa Chefs Pride uko sehemu gani? Ati kila nikivuta kumbukumbu sikumbuki ulipo ila jina si geni kwangu.