Kinyungu
Platinum Member
- Apr 6, 2008
- 22,948
- 46,338
Minor correction Tunisia not AlgeriaAlgeria machafuko ya kupinga serikali yalianzishwa na kijana msomi aliyeamua kujichoma moto baada ya kuudhiwa na serikali.
Watu walijikusanya taratibu wakishangaa na kunong'onezana na hatimaye mikusanyiko ikawa mikubwa kiasi serikali ikashindwa kuidhibiti na hatimaye nchi ikapinduliwa.
Sasa hili la fulana ni dogo kwa MTU wa kawaida lkn ni kubwa saana kwake likiachwa na watawala likatembea kama mmea wa matembele uwepo wa dola unaweza tetereka.