Police given green light Kula Rushwa?

Nilitegemea asema ukiona polisi anakula rushwa mpige picha rusha tumshughulikie. Sasa anasema msirushe hizo clip.

Means wale rushwa lakini msiwaumbue ie msiwaripoti

Sasa maovu utayafichua vipi?
Huenda wame idhinisha kama moja ya posho ya ziada.
 
Nilitegemea asema ukiona polisi anakula rushwa mpige picha rusha tumshughulikie. Sasa anasema msirushe hizo clip.

Means wale rushwa lakini msiwaumbue ie msiwaripoti

Sasa maovu utayafichua vipi?
upotoshaji nonsense team is back on air right?🤣
 
Mzee magu aliwahi kusema ile ni pesa wanayopewa kwa ajili ya kununua kiwi au maji mda mwingine isitafsiliwe kama rushwa ila inapozidi kwa mtoaji ili mpokeaji amfichie makosa hiyo ni mbaya
 
Huenda kuna jambo alilenga ila hakufafanua
 
Nilitegemea asema ukiona polisi anakula rushwa mpige picha rusha tumshughulikie. Sasa anasema msirushe hizo clip.

Means wale rushwa lakini msiwaumbue ie msiwaripoti

Sasa maovu utayafichua vipi?
Sasa mkuu mbona unatiririka tu bila kutuwekea clip na Sisi tufaudu ujinga?
 
Nilitegemea asema ukiona polisi anakula rushwa mpige picha rusha tumshughulikie. Sasa anasema msirushe hizo clip.

Means wale rushwa lakini msiwaumbue ie msiwaripoti

Sasa maovu utayafichua vipi?
Wakati huu bila shaka sii brush tena ila bila shaka ni kunyonga mjusi na suti a.k.a jumba 3kallii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…