Police brutality

Kithuku

JF-Expert Member
Nov 19, 2006
1,395
208
Hii ni ya uchaguzi wa 2005 huko Zanzibar, kuna mtu alii-film kutoka kwenye apartment yake ghorofani. Hizo sauti mnazosikia ni za kwake, mkewe na mtoto wanashangaa jinsi polisi wanavyofanyiza!
[media]http://www.youtube.com/watch?v=P1-YuxjdcvU[/media]
 
Jamani hivi hata Tanzania madudu haya yalisha fanyika?.....Nimeogopa sana!

Rwabugiri,

Hayo yalifanyika na sehemu nyingi unyanyasaji wa aina hiyo bado upo kwa wingi tu. Tatizo ni kwamba kaka yale ya zanzibar, wengi hususa kutoka bara waliamua kukataa tu na kusema hayajatokea kwa sababu hawajashudia moja kwa moja.

Ninafahamu watu ambao ndugu zao waliuwawa hicho kipindi na wao wenyewe walikuwa wanaishi kwa woga sana---Ndiyo hiyo ndiyo Tanzania yetu tuambiwayo ni ya amani saana.
 
Back
Top Bottom