Police arusha wajipongeza kwa mauaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Police arusha wajipongeza kwa mauaji

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Easymutant, Jan 8, 2011.

 1. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Nimetoka Police Mess Jana usiku hapa Arusha nilishuhudia FFU zaidi ya 45 wanakula kuku baada ya 'kazi nzurì' ya kuua wana wa nchi waliokuwa wanaonesha hisia zao juu ya demokrasi mbovu inayofanyika hapa nchini. Nilitaman niwe nimejifunga mabomu nijilipue! God 4bid...!

  Hakika mngewaona ni kama walikuwa wanashangilia ushindi ambao sijui ni ufananishe na nini jamani mnielewe ? .. ni kama labda wachezaji wa timu fulani kubwa ambayo imeshinda kombe au mfano mzuri kama wameshinda kombe la dunia nadhani mmenielewa sasa.. narudi zangu kulala bado nina mninginio wa hatari...

  Na tetesi ni kwamba machalii wa Arachuga wametengeneza bifu zito sana na police ...
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Walikua wamevalia sare au?
   
 3. m

  mzalendo2 Senior Member

  #3
  Jan 8, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwa kweli hawa ni kuwanyima hio raha popote na kuwajaza horu

  kwa kuanzia tuuwe alau wawili kila siku
   
 4. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  i wish!
   
 5. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Waache wafurahi ila mwisho wao unakuja
   
 6. m

  mzalendo2 Senior Member

  #6
  Jan 8, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  bila ya kuwapa funzo hawa jamaa daily watatutia hawaaaa

  tufanye kweli jamani tufaneni kweli tuanzisheni mob ya kuwauwa kisiri sili wao waonekane weshakufa na kuwatupa mabarabarani
   
 7. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,659
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
  Polisi wote tuwachukulie kama nyoka kila wanapoonekana ukiwepo uwezo wa kuwaua wauawe tu. POLISI WA KIKWETE NI NYOKA WANASTAHILI KUPONDWA VICHWANI.
   
 8. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  What the nonsense are you putting here?

  MOD: Take appropriate action p'se.
   
 9. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #9
  Jan 8, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Wana haki ya kusherehekea kumwaga damu, Maana hata JK tulimuona akisherekea katika viwanja vya Ikulu.
  Damu ya Wana Wa Nchi itakuwa juu yake MKWERE.
   
 10. M

  Mundu JF-Expert Member

  #10
  Jan 8, 2011
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Duh!!
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Jan 8, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kama vipi tutaanza na wajinga wajinga kama wewe....
   
 12. S

  Smallnick Member

  #12
  Jan 8, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yani hata mimi nilijua kabisa lazima hao wendawazimu watajipongeeza kwa upuuzi wao walioufanya ila kwa taarifa yao ni kua harakati ndo kwanza inaanza..... Shame on them.... m''''fck:disapointed:
   
 13. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #13
  Jan 8, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Sidhani walikuwa wanasherehekea mauaji Kama unavyoiweka, pengine kulikuwa na sababu tofauti
   
 14. THE GAME

  THE GAME JF-Expert Member

  #14
  Jan 8, 2011
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 441
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Hata mababu zetu enzi za ukolon walifika mahali wakasema sasa basi liwalo na liwe hivyo na sisi sasa tumechoka kuonewa na hawa vidampa vya jk na ccm tuwauwe kama walivyoua ndugu zetu bila hatia yoyote.
   
 15. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #15
  Jan 8, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kishongo,

  Ulikuwa na LENGO zuri sana kuandika ujumbe wako pale juu ila umeandika bila kutumia ..............

  Nashindwa kujua ni neno gani nitumie ili nisikukwaze. Kuanza Mauwaji na VISASI kwa Tanzania litatupoteza.

  Ila kwa ninavyowafahamu Wachaga, mtu aandike au asiandike, KISASI ni lazima.

  Wale jamaa usione wamekaa kimya na hawatoki barabarani kuandamana. Kuna kitu kinapikwa.

  Ningeliona BUSARA sana kama viongozi wetu wangelikaa na kusaidia kuzima moto huo kwa kutumia viongozi wa Chadema, viongozi wa DINI na taasisi mbalimbali ili kuokoa TIT for TAT isianze.
   
 16. K

  Kanjunju Member

  #16
  Jan 8, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Polis wengi hawana elimu ya kutosha wnasema wao ni kutii amri kwanza kuuuliza badae.Katiba itawabadilisha hapo baadae lakini sasa ni kutii.
   
 17. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #17
  Jan 8, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ushauri wako ni wa busara sana.
   
 18. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #18
  Jan 8, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Take appropriate action to Kishongo he is desperate wamelikoroga na mabwana zake
   
 19. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #19
  Jan 8, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Ndugu zanguni niko hapa mjini yanayoongelewa yanatisha. Polisi wanajipongeza kwa muda tu watakuwa wanasakwa kama Swala. kuna waliotaka kuwatafuta kwanza wake zao na watoto wenye hekima wakasema hapana watafutwe polisi ili mradi ni polisi bila kujali aliua au la lakini wakifa kama 10 hivi hasira za watu zitakuwa zimepungua. At least kila mtu mmoja damu ya polisi 3 imwagike
   
 20. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #20
  Jan 8, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Hii naiunga mkono
   
Loading...