Kishongo,
Ulikuwa na LENGO zuri sana kuandika ujumbe wako pale juu ila umeandika bila kutumia ..............
Nashindwa kujua ni neno gani nitumie ili nisikukwaze. Kuanza Mauwaji na VISASI kwa Tanzania litatupoteza.
Ila kwa ninavyowafahamu Wachaga, mtu aandike au asiandike, KISASI ni lazima.
Wale jamaa usione wamekaa kimya na hawatoki barabarani kuandamana. Kuna kitu kinapikwa.
Ningeliona BUSARA sana kama viongozi wetu wangelikaa na kusaidia kuzima moto huo kwa kutumia viongozi wa Chadema, viongozi wa DINI na taasisi mbalimbali ili kuokoa TIT for TAT isianze.