Usiwe mpumbavu kiasi hikiPolepole mjinga auze yeye
Kwa maelezo haya tuna kazi kubwa mbele ya safari, aidha ni muislam au ccm kindaki ndaki ila una maisha magumuPolepole mjinga auze yeye
Watanzania bwana; kwani kipindi cha JPM gesi ilikuwa bei gani???? Tuacheni siasa za maji taka? Je kenya gesi ni bei gani, Uganda??? Tujilinganishe na wenzetu kwanza kabla ya kwenda Cuba; hata bei ya mafuta East Afrca sisi tupo chini... kwa siasa za hivi hatuwezi kujenga nchi yetuCCM IMETEKWA KWA WANAMTANDAO
Alikuwa ameshaenda Cuba wakati huo?Wakati wa Baba yake Jiwe tulikuwa tunanuwa elfu 50 mbona hakulalamika? sio ndio yeye aliekuwa anaropokwa nani kama Magufuli
Amejua bei alivyoenda CubaWakati wa Baba yake Jiwe tulikuwa tunanuwa elfu 50 mbona hakulalamika? sio ndio yeye aliekuwa anaropokwa nani kama Magufuli
Huko ni Cuba aendelee kuishi huko,JF
Polepole anasema, Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20/= unauzwa 2000/= TZS. Tanzania tunauziwa 55,000/= TZS.
Aisee hii nchi kwishne..
View attachment 3458002
Kwani lazima awe cuba ndiyo babaake auze gesi buku jero?Alikuwa ameshaenda Cuba wakati huo?